xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Ya nini kuwa na mchezaji ambae kila siku anazungumzia kucheza barca au Madrid, tunataka mchezaji ambae yupo committed sio nyangema anae tutumia kama stepping stone.Wanataka nafasi ya Pogba acheze McTominay ndo tuone kuingo kiko stable..pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
