Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Either Pogba anataka kuongezewa mshahara kwenye mkataba mpya au anajifanyia promo Perez amsajili[/QUOTE

hana consistency huyu jamaa,aondoke tujenge timu kwa uwiano unaostahili. Sijawahi kumkubali tangu day 1 anakuja united.
 
Mi siwezi kuongea kama najua kinachoendelea hko nyuma ya pazia kuhusu details za mshahara anaotaka etc lakin ninachojua ni kuwa Herrera na De gea wapo kwenye mazungumzo na Club kuhusu mikataba yao..mpka sahv sisi ndo Club inayoongoza kwa mishahara mikubwa Pale PL na matokeo uwanjani ndo kama hyo unayoyaona!

Ss Je nakuuliza ww ungekuwa CEO wa Man UTD mfano kila mchezaji akidai hela sawa na kina Pogba utatoa tu ilikumridhisha asiondoke? Arsenal juzi kati wametoka kumwachia Ramsey unafikiri wao pia ni wajinga na hawajui umuhimu wa Ramsey?

Kwa mtizamo wangu hakuna mchezaji mkubwa kuliko Club na kwenye Club zote za maana lazima kuwe na wage structure sio unamwaga Pesa tu kama njungu kwa kuwa unatengeneza pesa nyingi..Hebu tuwe na Subira tusikilizie mwisho utakuaje ndo tupate cha kuongea/kulalamika..
Ndugu yangu hakuna ambaye yupo ndani ya club kati yetu, lakini ni mambo mangapi ya ndani tunaongea kuhusu kinachoondelea pale United? Sources zetu za info ni zile zile, Tv kubwa na article kubwa kutoka kwa vyombo kama BBC, Sky n.k. Pia kupitia akaunti za social media za watu maarufu wanaojihusisha na soka.

Vinginevyo tungekuwa hatuongei mpaka tusubiri club i confirm flani kasajiliwa au flani kaachwa. Kwa hiyo sio pale zinapotajwa habari zinazopendwa ndio tujidai tunajua habari za nyuma ya pazia na details nyingine, ila kama habari hatuipendi ndio tujidai kwamba hatuwezi kujua habari zilizopo nyuma ya pazia.

Kuhusu kutoa hela hovyo bila kujali wage structure si jambo la busara lakini si ndio Ed alitoa £500,000 kwa Alexis? Au hiyo ipo kwenye structure ya wage bill ya United?

Lakini labda nikuulize je unajua kwanini sasa hivi Mata, Herrera na Degea wataka dau kubwa katika mkataba wao. Sababu ni simple tu, katika negotiation wana upper hand dhidi ya United, yaani kwa kuchelewa kuwapa mkataba United amekuwa kwenye upande wa kubanwa katika mazungumzo.

Ina maana mazungumzo yangefanywa hata miaka 2 kabla ya mkataba kuisha wasingetaka dau kubwa kama sasa na wangetaka dau kubwa United angekuwa na options zaidi tofauti na sasa (mfano kuwauza kwa bei nzuri na kutafuta mbadala).

Na kwa mtazamo wako kwamba kitakachofuata ni nini? Ni kumuaza Degea kwa hasara (maana mkataba utakuwa umebaki chini ya Mwaka) au kumpa mkataba anaotaka (kitu ambacho Ed anagomea sasa hivi). Kwa Herrera na Mata itakuwa either kuwapa mkataba wanaotaka au waondoke bure na Man United atafute £ 80+ kuziba nafasi zao hao jamaa wawili na kuwapa mshahara mnono hao wachezaji wageni.

Anacholaumiwa Ed ni kuchelewa ku settle mambo ya mikataba mapema kiasi cha kwamba wachezaji wanaweza kuondoka bure na kuziba nafasi zao kuwa tabu.

Kumbuka kwa sasa Man anahitaji almost £250 million kuimarisha kikosi (bila akina Herrera kuondoka) lakini hao jamaa wakiondoka itawalizimu kutumia zaidi ya £300 ili kuziba mapengo na kuimarisha kikosi, je huyo Ed yupo tayari kutoa huo mpunga? Na akitoa huoni kama gharama waliyoikwepa kwa mlango huu wanaikubali kwa mlango mwingine?

Halafu mfano wa Arsenal ni mfano wa ajabu sana. Yaani kwa kuwa Ramsey anaondoka bure na sisi tuige kwao. Arsenal walifanya makosa kwa Sanchez akaondoka, kwa Ozil (bahati nzuri wakamsainisha mwishoni, lakini kwa hela aliyotaka) na sasa kosa limejirudia kwa Ramsey. Kosa ni lile lile la kusubiri mkataba upo mwishoni ndio mnaanza kukimbizana kwenye mazungumzo.

Ed ni mzigo kwenye football side japo anajitahidi kwenye biashara na tukumbuke yeye na Glazers siblings wanachotaka ni timu kuingia top four tu ili timu itinge UCL kwa ajili ya biashara, sasa sisi tunaopenda kuchukua vikombe kazi kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu iuzwe kwa mwingine tu

Kuna vitu umeongea vya msingi humu sema kuna vipande nahisi hukunielewa mkuu,mfano hicho cha Ramsey, hili swala la negotiation za contract extension kuchukua muda mrefu (kucheleweshwa kama unavyosema ww) lina tokea karibia kila Club mzee na hiyo system haijaanza leo,kwan wachezaji wangap ww umeshawasikia wakiondoka buree kwenye club zao?ww kwa mtizamo wako unafikiri kwann hichi kitu hujirudia mara kwa mara? ndo maana nikakupa mfano wa Ramsey point yangu hapo ni kukuonesha hilo ni jambo very common kwenye Mpira so usifikiri ni Woodward peke yake, ishu ni kwamba kwenye vitabu vya accounting its expensive kuwaongezea mikataba wachezaji mapema kabla mkataba wao haujakaribia kuisha coz mshahara unaongezeka kabla hata ule mkataba wa kwanza haujaisha hvyo ma CEO karibia wote husubiri mpka ubaki mwaka ndo negotiation za extension zinaanza,kama mchezaji anataka abaki kwenye Club flan mwaka mzima unatosha kabisa kufanya negotiation,kama anataka kuondoka ndo ataanza hizo figisu za kutaka mshahara wa ajabu ajabu so hapo ishu haipo kwa Woodward bali ni mchezaji mwenyew, ww kama utaka kuichezea Man Utd kwann uanze kuleta figisu?

Umeongelea swala la Sanchez, ni kweli mshahara wake wage structure ilivunjwa lakin yeye ilikuwa ni special case Sanchez alikuwa one of/if not the best player kwenye PL alivyokuwa Arsenal alikuwa anaibeba timu ile yeye peke yake,na kama form yake ya Arsenali angekuja nayo sahiv tungekuwa tunaongea habari za ubingwa tunachukua lini tu humu,alafu pia hatukutumia hela ya maana kwenye kumsajili hvyo ilimake sense ile hela ilopaswa imsajili ndo iende kwenye mshahara aliotaka so huwezi kufananisha na case hii,na pia kwa logic yako inamaana kama tulifanya hilo kosa kwa Sanchez unataka turudie tena?

Hilo swala la nyuma ya Pazia ofcoz kuna vitu ambavyo huwekwa wazi na media vingine huwa ni kati ya Club na Mchezaji au mchezaji na agent wake,hapa hakuna mtu mwenye uhakika anaejua Herrera anataka kiasi gani,na Club ipo tayari kumpa kiasi gani etc hayo ni maamuzi yake binafsi na ni private so huwezi ongea as if unajua kila kitu kinachoendelea hyo ndo maana yangu!
 
.
IMG_20190324_120857.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hii, huyo ni RIO

I got the ball and passed to Gary, who was on my team. In a normal game that was a great ball – pass to your teammate, go up the pitch. And then Keane turned round and just started going: ‘Pass it forward, take risks, you’re not at Leeds or West Ham now, you’re at Manchester United!’

I got home later that day and thought: ‘This guy is nuts, how am I going to deal with him on a daily basis?’ And then I realised that you’ve got to take chances and that’s how I ended up playing my career. Not just passing the simple ball to Gary, but into the strikers to make a difference.

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom