Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi juzi nimetoa taadhari kwamba Barcelona si sawa na psg na tusitegemee bahati tuamishie nguvu Top 4 Reality inakataa sisi kufuzu hatua ya nusu fainal
 
Oooh manyua wametolewa na Wolvs, oooohh jamani manyua kwisha habari yao, ooohh Ole sendeka kaoza
 

Hakuna mtu kanikera kwenye mechi ya leo kama huyu martial mkuu. Sijui kwa nini mashabiki wengi tunamuona potential hivyo wakati amekuwa mtu wa matukio baadhi tu na wala si mchezaji wa dakika 90. bure kabisa huyu dogo,auzwe tu tupate mbadala wa kuaminika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…