Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmmh mbona unakuwa muongo,mwanzo mwisho Arsenal katawala kati pale,wewe mashambulizi yako yalikuwa ya kuvizia.
Graeme Souness blames Manchester United's 'off-the-pace' midfield for Arsenal loss
 
Umeongea kimpira kabisa

Kwanini wanataka kumuangushia mzigo Fred ,wakat rashford Jana hakuwa Form

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal gani hiyo iliyotutawala kati jana??..

Halafu kauli ya huyu mchambuzi uchwara shabiki wa liverpool wewe ndo unaitumia kama reference..
Hamna mchambuzi ambaye sio mshabiki katika sayari hii,lakini jana kati tuliwazidi huo ndio ukweli .
 
Kikosi tunacho kipana?!!!!!

Sent using simu mbovu
 
Alitufungia penat yenye pressure kubwa bila matatizo yeyote ila leo so awaful

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unafuatilia press za ole alisema anashindwa kumlaum rashford hii kutokana na umr wake ina maaana hata kocha kagundua dogo hana muendelezo mzur wa kiwango kweli alifunga penat lakin haiondoi uwajibikaj wake uwanjani anakosa sana goli jana kabla ya mech garry neville anasema manchester united inahitaj mshambuliaji mmoja kiungo mmoja na bek mmoja au wawili

Kwa mech ya jana alikuwa hovyo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duh..hahahaha..mmeamka wajameni?! Poleni na knuckles za jana, ndiyo maisha, ila kuweni na adabu basi, ama sivyo mtaendelea kuumbuka kukicha...😀😀😀
 
Pia niligundua alikuwa na ubinafsi flani muda mrefu... Kuna muda alikuwa kwenye nafasi ya kugawa mpira ila anakaa nao tu na anaupoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Rashford habadiliki kabisa na OGS anatamani Rashford awe kama CR7 wakati hilo jambo haliwezi kutokea.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila sisi man u kuna matatizo tunatakiwa kuya solve.
Tukikutana na decent team inayopress, mfano arsenal jana.
Pale kwenye midfield huwa hapaeleweki(hata wawepo PMH), pasi zinapotea sana.
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri hata leiceter city walitupa shida kwenye midfield.

Kingine huyo lindelof ni mzuri kuanzisha mashambulizi, tatizo yeye ni RCB, lakini an anachezeshwa LCB, sababu hatuna LCB mzuri zaidi yake.
Hii inamfanya hasianzishe mashambulizi vizuri kutokea nyuma.

Timu yetu ina matatizo kibao, RW, RB, hata matic na herrera kwa top team in europe , ni squad players tuu.

Haya ni maoni yangu tuu si lazima yawe sahihi.

Sent using simu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…