Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,015
- 51,524
We will continue to be in cityzen's shadow forever kama tutaendelea kuwa na mashabiki dickheads kama wanao amini kuwa haka kakocha katatufikisha popote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mpira hakuna kufanyaBasi tufanye 2-2
Arsena vs Man utd
Score 2-2
Min 970
Goal man utd
Dudubaya
Min. 650
Min. 770
*To follow Football on Duta:*
*Add to your group:* +918754458433
UMERIDHIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeona kitu naona watu wote hawakioni.halftime ilikua unatoa fred unaweka tomnei.maana weaknes ilikua kwa fred mipira yote ya aseno inapita hapo kwake young anapata shida.
All in all fred siyo mchezaji wa kucheza man u.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha kwaiyo mumefungwa kwa sababu ya Wind ...kabla ya gemu mungemuita Klopp aje awambie hali ya upepo itakuwaje ...hahahaMkuu kwani hujui jana kulikuwa na janga kubwa la upepo. Kuanzia ile mechi ya mchana malalamiko yalikuwa mengi (kumbuka na goli la kona kwenye mechi ya liverpool lililoingia lenyewe kwa kusukumwa na upepo) Mechi za jana mipira ilikuwa ikikatika sana. Lile goli la deGea upepo uliuvuta mpira ukahamia direction nyingine. Ndicho alichokuwa analalamikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fred alipambana sana ..uyo ni future nzuri badae ..ila kipindi cha pili alipwaya sana..Mkuu umeangalia mechi ya leo???? UNAMLAUMU FRED MECHI YA LEO!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..Akiba ipi Mkuu
Kuna neno lisilo la kweli hata moja hapo
Kila nilichosema ni cha kweli
Jana was just not our day
Wamefunga magoli ambayo katikà siku ambayo tupo kwenye kiwango chetu tusingefungwa na tumekosa magoli ambayo siku tupo kwenye kiwango chetu tusingekosa (rejea kusoma tena hiyo post, utaona nimeongea kitu cha namna hiyo)
Ndugu yangu watu hatujaanza kufuatilia mpira jana
The next stop Wolves, quarter final FA ..... Siku moja baada ya draw ya UCL quarter final
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hizo ni game tulizotegemea kushinda, lakini mwisho wa siku imekuwa tofautiNakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..
Si ndo hivo mulisema? Muwe munaeka akiba ya maneno...
Overconfidence imewaumbua/itawaumbua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hii wewe ndio unawafundisha watu waweke akiba ya maneno,Nakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..
Si ndo hivo mulisema? Muwe munaeka akiba ya maneno...
Overconfidence imewaumbua/itawaumbua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hizo hesabu nimeshindwa kuzielewa!
Huwa siwaelewi watu wanavyoanza kutoa lawama kwamba kocha hafai.Kwa hiyo arsenal ni sawa na cadif had useme mechi ilikuwa muhimu wao hawastahili kushinda?
Kuna muda tuwe tunakubali hata arsenal alikuwa bora
Mourinho katolewa si kwamba solskjaer aipeleke united top 4 alitimuliwa kufuatana na mwenendo mbovu wa matokeo plan ya timu ni kujipanga mwakan ndio maana alipewa kaz ya muda kufuatana na mwenendo wa matokeo aliyopata tumeona hata top 4 inawezekana hamna alietarajia kusema tumemtoa jose ili OGS afanikishe mpango wa jose unakosea binafsi nampongeza sana OGS
Kapita ktk mechi nyingi ngumu sana huwez kushinda wala kutoka suluhu ktk mech zote lazima kuna watakao kudaka
Pep na ubora wake alinaswa na chelsea kala chuma mbili bila
Sent from my iPhone using Tapatalk
Tumesema kuhusu Rashford na tumesema pia kuhusu Fred.Nilikuwa nimekula ban leo napitia review za gemu ya jana kwenye jukwaa letu na mimi nina haya ya kusema;
√Kwa upande wangu mchezaji aliyecheza vizuri kuliko wote jana ni Fred,,Yes ni Fred..alikuwa akipata mpira anawaza kwenda mbele,hachezi back pass..alifanya makosa machache ambayo hata wachezaji wengine wanayafanya..kuna watu walitaka McTominay acheze,je Tominay angekuoffer kitu gani cha kitofauti ambacho kingefanya tushinde gemu ya jana..Fred is good on team going foward...7/10 for Fred
√ Kuna watu tusiposhinda tunakuwa tunawapa lawama ambazo hata hawazistahili..Sasa kwa nini hamsemi kuwa jana Rashford alikuwa selfish,non -Clinical??..kwa nini hamsemi Pogba alikuwa hajatulia jana??
√All in all hatuwezi kushinda mechi zote kuna ambazo lazima tuzipoteze,let looking foward kwenye mechi zijazo kwenye mashindano tuliyopo
GGMU
Huwa siwaelewi watu wanavyoanza kutoa lawama kwamba kocha hafai.
Naomba wawe wanatoa mbadala, kocha gani anafaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka mulisema kwenye gemu mlizobakiza ..Arsenal na Chelsea muna uhakika wa point sita ..
Si ndo hivo mulisema? Muwe munaeka akiba ya maneno...
Overconfidence imewaumbua/itawaumbua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa banNilikuwa nimekula ban leo napitia review za gemu ya jana kwenye jukwaa letu na mimi nina haya ya kusema;
√Kwa upande wangu mchezaji aliyecheza vizuri kuliko wote jana ni Fred,,Yes ni Fred..alikuwa akipata mpira anawaza kwenda mbele,hachezi back pass..alifanya makosa machache ambayo hata wachezaji wengine wanayafanya..kuna watu walitaka McTominay acheze,je Tominay angekuoffer kitu gani cha kitofauti ambacho kingefanya tushinde gemu ya jana..Fred is good on team going foward...7/10 for Fred
√ Kuna watu tusiposhinda tunakuwa tunawapa lawama ambazo hata hawazistahili..Sasa kwa nini hamsemi kuwa jana Rashford alikuwa selfish,non -Clinical??..kwa nini hamsemi Pogba alikuwa hajatulia jana??
√All in all hatuwezi kushinda mechi zote kuna ambazo lazima tuzipoteze,let looking foward kwenye mechi zijazo kwenye mashindano tuliyopo
GGMU