Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Akishika mpira watu wanacheka, mnyama akishika mpira unajua ni mauaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku nyingine utakuwa na akili timamu hii timu huwa haichezeshi majina inacheza wachezaji wenye moyo wa kupambana
IMG_0481.JPG
 
Unaandika kwa ujasiri wakati ndani yako unajua uhalisia. Fanya analysis ya kikosi ulicho nacho na kosi la Barca. Nasema hivi ukidondoka mikononi mwa barca nakula mbele na nyuma mkuu hiyo haiepukiki. Uliye mfunga juzi nilimfunga 6 sasa wewe zitaanzia sita kwenda juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe mara yako ya mwisho kutukana Mkuu

Turudi mpirani. Barcelona kilichobako ni makumbusho tu.

Sijaona Beki wa kumkaba Lukaku ,Rashford na Martial. Usinitajie Pique na Lenglet (maana utakuwa tu unataka kunichekesha)

Messi na Suarez wa leo ni vivuli wa Messi na Suarez tuliokuwa tunaowafahamu. Ingekuwa miaka 5 iliyopita huyo Messi tungem man mark kupitia Herrera, lakini kwa sasa itakuwa ni kupotezeana muda tu.

Sergio Bosguet hana uwezo wa kudhibiti kiungo ambacho Pogba yupo katikati.

Coutinho na Dembele ni mere replica ya wale jamaa wa Liverpool na Dortmund.

Nikuhakikishie tu kwamba, PSG ya sasa ni bora kuliko Barca

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahh unaweka Ronaldo? Umekosa wa kuweka kwenye squad yako yenye wakina Bailly, Fred na wakina Lukaku?

Sent using Jamii Forums mobile app

Dogo hata hawa wakina bailly na fred hawawez kufungwa na hii barcelona

Hapo ronaldo alikuwa bado hana jina ulaya ndio alikuwa anachipukia kwa kuwa mfinyu wa akili umemuona yeye wakat kuna evra na smith plus carik ubaoni
 
Hizi ndio juhudi za wasio jiweza.
Iwe mara yako ya mwisho kutukana Mkuu

Turudi mpirani. Barcelona kilichobako ni makumbusho tu.

Sijaona Beki wa kumkaba Lukaku ,Rashford na Martial. Usinitajie Pique na Lenglet (maana utakuwa tu unataka kunichekesha)

Messi na Suarez wa leo ni vivuli wa Messi na Suarez tuliokuwa tunaowafahamu. Ingekuwa miaka 5 iliyopita huyo Messi tungem man mark kupitia Herrera, lakini kwa sasa itakuwa ni kupotezeana muda tu.

Sergio Bosguet hana uwezo wa kudhibiti kiungo ambacho Pogba yupo katikati.

Coutinho na Dembele ni mere replica ya wale jamaa wa Liverpool na Dortmund.

Nikuhakikishie tu kwamba, PSG ya sasa ni bora kuliko Barca

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Special message to arsenal fans from their number one killer😀😀
Screenshot_20190309-090538.jpg
 
Back
Top Bottom