Watu wanadharau wachezaji wao sana
Kwani nyie kesho mtashinda mbele ya Auba na LacazetteHaya matokeo ya spurs yanatupa hamasa zaidi kushinda kesho
Kwani walipofungwa 3-1 pake Emirates ,hao akina Aub na lacazette hawakuwepo?
Mi nakuambia tu .usipoteze muda wako kuidhamin arsenal...utaishia tu kujiharibia weekend yako..
Kwa iyo kesho mtashinda sio.!Kwani walipofungwa 3-1 pake Emirates ,hao akina Aub na lacazette hawakuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Overconfidence itawaumbua..Kwani walipofungwa 3-1 pake Emirates ,hao akina Aub na lacazette hawakuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza niseme kati ya mashabiki wa mpira nawahusudu sana wewe ni mmoja wapo.
