OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kivyovyote mkikutana na Ajax kweny stage yeyote ile ndo utakuwa mwisho wenu..
Mpira hauko hvo brazaKivyovyote mkikutana na Ajax kweny stage yeyote ile ndo utakuwa mwisho wenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajax hatishi. Bora Ajax mara 100 kuliko TotsKivyovyote mkikutana na Ajax kweny stage yeyote ile ndo utakuwa mwisho wenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu kiungo nilipenda Sana wadogo walivyofanya, Mactommy alijaribu Bix to box, huku Pereira upande wa right wing alipanda na kushuka, Ile kamati niliipenda Sana.Mkuu ingekuwa rahis kama pogba angekuwepo maana kuna muda kiungo ilitekwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani uku mtaani, mitandaoni kote mnasumbua ..kama mmefika fainal vile au ndo mumeshanyanyua kwapa..
Mkishinda ni tatizo ...siku marefa wakiacha kuwabeba kidogo kutatulia..
Sent using Jamii Forums mobile app
City au dude gani, ujanja wa city ushajulikana.Labda chelsea au arsenal sio hili dude
Mnateseka sana watu wanashangilia timu yai hata wakifungwa huzuni inawapata wao
Huyo ajax nilimpa 2-0 fainal ya Europa au mmesahauKivyovyote mkikutana na Ajax kweny stage yeyote ile ndo utakuwa mwisho wenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mama umeshinda nini tatizo au ndo furaha ya ushindi...
Maana sio kwa matusi yale...
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa nini kili-happen?Aiseee so hauoni ninaowajibu? Sina furaha za kutukana
Ajax juzi juzi tu alitupatia kombe la Europa League bila hata ushindaniKivyovyote mkikutana na Ajax kweny stage yeyote ile ndo utakuwa mwisho wenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi alionyesha kuwa kunamchezaji pale..Ole aende naye mdogomdogo tu,naamini jamaa atasimamaFred kanifurahisha sana.