Aisee tuache masihara..hii fixture ya february to march tulivyokuwa tunaiangalia imekuja kuwa tofauti kabisa,,yaani tumetembeza vichapo kwa asilimia 85
Lukaku yupo kwenye form sana. Nimefuatilia hizi match za tatu za mwisho, vyombo vya habari vya Uingereza havimpi pongezi anazostahili. Kind of racism hivi.