Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumpe muda Fred

There u are broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatambua kwamba valencia anakosa mkataba kwa ajili ya huyu dalot?
Tutakuwa tunachekesha sana...
1. Man City= Kyle Walker
2. Liverpool=Alexandre Arnold
3. Arsenal=Bellerin
4. Spurs=Trippier/Alderweired
5. Chelsea=Azpilicueta
6. SISI=DALOT
Tutachekesha sana, sana, sana.

Toka hii timu imeanza hatujawahi kuwa na mtu laini kama huyu
1. Garry Nevile
2. Rafael
3. Valencia
4. Young
Haya ni majembe yana nguvu na kupanda mbele kwa spidi kubwa na krosi za hatari za kuvunja mabeki mbavu.
Huyu dogo atakuwa jipu kubwa kama tusipotafuta namba mbili ya maana.

LABDA MUMTAFUTIE NAMBA NYINGINE HUKO SIO BEKI NAMBA 2.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, kumbe kuna mtu anaweza kumlaumu huyu jamaa!!!! Endelea kumshabikia Pereira na Dalot huenda wakakuvusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeua, KWELI TAKWIMU HAZIDANGANYI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Martial ni zaidi ya Lukaku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 




Oleksandr Zinchenko

Unaifaham kazi ya huyo dogo pale city? Unaujua umr wake

Kwa kukusaidia manchester united imekuwa na rekod mbovu ya kununua mastaa wakaja kufanya poa tofauti na madogo inaonunua kisha kuwakuza na kuwa nguzo ya timu
 
Manchester United's missing players against PSG:


Alexis Sánchez

Jesse Lingard

Anthony Martial

Juan Mata

Ander Herrera

Nemanja Matić


Phil Jones

Antonio Valencia

Matteo Darmian

Pogba (Red card)

 
Sanchez ni wa kuuzwa au kutolewa kwa mkopo..yani hafai kubaki utd msimu ujao..jamaa ameisha tumuache akatafute maisha sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs


Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
 

Mabadiliko ya kanuni za mpira kwa msimu ujao 2019/2020 .
.
.

The International Football Association Board (The IFAB) , imebadilisha baadhi ya kanuni za mchezo wa soka kwenye kikao kilichofanyika wiki iliyopita nchini Scotland . Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:-
.
.

1. KUTAKUWA HAKUNA MREJESHO KUTOKANA NA PIGO LA PENATI
.

Mchezo utasimama kwa kuanzishwa kama penati imeokolewa au imegonga mwamba , hii ina maana hakuna tena nafasi ya kufuata mpira na kufunga ( Rebound ) kwa maana hiyo wachezaji hawatokuwa na uhitaji wa kujipanga nje ya 18.
.
.

2.MPIRA KUCHEZWA NA MKONO.

Kuanzia Juni mosi goli litakalofungwa ambalo limegusa mkono wa mchezaji kwa maksudi au bahati mbaya ( Mfungaji ) halitakubaliwa.
.
.

3.MABADILIKO YA MCHEZAJI
Mchezaji ambaye atakuwa anafanyiwa mabadiliko ataruhusiwa kutoka kupitia upande wowote ule wa uwanja .
.

4. GOAL KICK
Mchezaji ataruhusiwa kugusa mpira hata ndani ya eneo la 18 kutoka kwa kipa , ambapo sasa hivi ni mpaka mpira utoke kwenye 18 ndio unaruhusiwa kuugusa.
.
.

5. KADI KWA MAKOCHA.

Makocha sasa nao watakuwa wanaoneshwa kadi ya njano na nyekundu tofauti na sasa hivi wanaambiwa tu toka kwenye eneo la benchi la ufundi.
.
.

6. KWENYE UKUTA WA KUZUIA MIPIRA ILIYOKUFA

Wachezaji wa upande ambao wanapiga mipira iliyokufa ( freekick ) hawatoruhusiwa kwenda kujumuika kwenye ukuta wa timu ambayo inazuia mipira hiyo , tofauti na sasa huwa wanachanganyika kama kuwatoa mchezoni.
.
.

7. PENATI .

Magolikipa wataruhusiwa kuweka mguu mmoja tu kwenye mstari na huo mwingine wataamua wao wenyewe waweke wapi , tofauti na sasa kwamba miguu yote lazima iwe kwenye mstari wakati anapigiwa penati.
credits to George Ambagile
 
Ah ah io ya penalt io

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs


Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
Bale tena mkuu kiande yule pale madrid tu anazingua alaf united kwel unamfuatilia kule spain lakin hyo hatufai kuja united

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ARV
Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs


Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
Gareth Bale ndio Sanchez wa Madrid (kwa form ya sasa ya Sanchez)

Always amekuwa overrated huyu mtu

Ukiacha mbio, sijui ana nini cha ziada

He is prone to injury

Huko nyuma ameturingia

Sasa hivi hata Madrid hawamtaki, sisi ndio tumchukue

Kubwa kuliko yote, pamoja na madhaifu yake yote niliyoyataja Madrid atataka atupige sio chini ya £80million

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…