Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu, nadhan ile Sub ya Dalot ilileta impact pia, kama huyu dogo akiendelea kupata nafasi na umri wake huo mdogo naiona future nzuri sana.

All in all, 3points zilikuwa muhimu sana aisee, top 4 now, next stop Emirates.

Ggmu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nadhan ile Sub ya Dalot pia ilileta impact, kama huyu dogo akiendelea kupata nafasi na umri wake huo mdogo naiona future nzuri sana.

All in all, 3points zilikuwa muhimu sana aisee, top 4 now, next stop Emirates.

Ggmu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona kama unatupa ukakasi wapenda soka hivi Dalot anaweza kuwa JIPUU kweli embu omba radhi kwa mshabiki wa United
 

Mkuu unatambua kwamba valencia anakosa mkataba kwa ajili ya huyu dalot?
 
De Gea jana hakuwa poa sana,

Sababu inaweza kuwa mkataba na kuongezewa mshahara anao taka ama??

Mtu mwingine anaboa ni Young!! Sikatai anajituma sanaa tatizo hana akili uwanjani.

Young anafanya makosa mengi sana uwanjani, game ilopita pia alisababisha goal kwa uzembe kabisa!!

Sikuamini alipofunga goal juzi na sikushangilia hadi niliporidhika kuona tena nilidhani kapiga cross kumbe kafunga bana!!!
 
Sure...Young anajituma ndio ila anakosa utulivu na akili.

Mimi hanivutii kabisa kama first choice yetu RB
 
haaahaaa bogas kabisa unazunguka mbuyu, umeulizwa ni miaka mingapi we unaleta ngonjera, unataka kupoteza kuwa mna misimu sita mfululizo hamjachukua kitu, mnakua wasindikizaji tu
Kichwamaji we, kwa hiyo ulikuwa unauliza kitu unachokijua

By the way, hayo ni majibu sahihi au imekuuma maana kwa mafanikio niliyoorodhesha timu yako haijayafikia na inaweza isiyafikie mpaka kiama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…