Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkataba wa United & Adidas ni £75m per season na 10%-15% ya mauzo ya jezi yanarudi kwenye klabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hela zipo wamlipe tuu, kwani walipokuwa wanamchukua sanchez hawakujua kitatokea hicho.
Pogba nae atafuata.
Hela zipo wampe,

Sent using simu mbovu
 
Hahahaha mpira ungekuwa mrahisi hivi mungekuwa mabingwa miaka yotee..

Yani unajipa uwakika kabisa kwa Arsenal na Chelsea una point sita hahahahaha

Hongera sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...sasa hyo 10% ndo kwa mtizamo wako unafikiri inafanya mtu aongezewe mkataba au la??
Huwezi elewa hii kitu

De Gea anagoma kuongeza mkataba sababu anataka aongezewe mshahara kama Sanchez unafikiri why Woodward alikubali kumpa Sanchez huo mshahara lakini anagoma kumpa De Gea.Kwa Woodward ni bora ampe Sanchez ambaye anaamini atarudisha some amount kwenye kuuza jezi na Sanchez alikuja as free agent ( Swap deal with Mkhi klabu haikutoa hela)

Sanchez ndio alikuwa mchezaji anayeuza jezi nyingi akiwa Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haha..unanichekesha sana aisee hebu nitajie kipa anaeuza jezi kwa mfano? Makipa huwa hata hawauzi jezi...
Sachez alipwa ile hela sababu hatukutumia hela yoyote kumsajili ni sawa na Juve mkulipa Ramsey hyo hela wanayotaka kumpa sababu hawajatoa hela yoyote kumsajili,hvyo hayo maswala hayahusiani na kuuza jezi kabisa ,ishu ya De gea inachelewa sababu ya negotiations ni kama hererra tu,huwezi mpa mchezaji hela yoyote anayotaka lazima m negotiate sio unatoa tu pesa kama fala!
 
Why Mkhi analipwa mshahara mdogo hapo Arsenal licha ya wao kutolipa anything kwenye signing fee?

Why CR7 amenunuliwa kwa fedha nyingi na still analipwa mshahara mkubwa ?

Kwa logic yako Woodward alikuwa right kumlipa Sanchez huo mshahara ?

That's was biggest mistake alilofanya na next season Pogba atataka ku-renew contract the same problem itatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
De Gea sio muuza jezi ndio maana Woodward anasita kumpa hiyo hela.De Gea anastahili kulipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wangempa na Ukapteni kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa United itakalofanya ni kumpa DeGea hela ndogo.

Ataona hathaminiwi na ataondoka United.

Wampe hizo hela anazotaka acheze kwa moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anauzwa kwa nusu mshahara.

Akigoma atakaa benchi aondoke bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

1. Arsenal na sisi ni tofauti usifananishe, wao wana strict wage structure pale toka kipindi cha Wenger,unafikiri kwann Ramsey walishindwa kumuongezea mkataba? vile vile mchezaji akinunuliwa kama free agent sio lazima mshahara wake utaongezeka akisajiliwa na timu nyingine, hyo inategemea na situation nyingi usikariri.

2.Naona unaanza kuchanganya madesa mkuu,CR7 ni one of the best in the world sasa ww unafiriki angenunuliwa kwa pesa ndogo? na mshahara wake uko justified kutokana na perfomance zake uwanjani,point yako haswa hapa n nn?

3.Naona labda umeshindwa kunielewa mzee sijasema wala kuashiria hvyo. soma vizuri post zangu za hapo juu kidgo utaelewa mtizamo wangu kwenye hyo ishu ya kuvuja wage structure.ila hyo haikuwa mada tuliokuwa tunajadili na ww,

Mada hapa ilikuwa napinga hoja/kauli yako ya kuhusianisha mauzo ya jezi na contract extensions kwa wachezaji
 
Anauzwa kwa nusu mshahara.

Akigoma atakaa benchi aondoke bure.

Sent using Jamii Forums mobile app

Akikaa benchi huku tunaendelea kumlipa mamilioni ya pesa hapo imekula kwa nani mkuu?Sanchez anafahamu Umri wake ushaenda na kupata mkataba wenye pesa nyingi kama huu hawezi tena kupata hvyo kukaa benchi hku anaendelea kulipwa mamilion sidhani kama kwake itakuwa ishu...ni kama ilivyokuwaga kwa Bastian Schweinsteiger na MO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…