radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Huyu jamaa mbuz kwenye gunia jana ilikuwa siku yake lakin bado anastrugle
Totenham afungwe hii match.Ila namuomba sana anikazie arsernal. Ili tukikutana nae asiwe na consistency
Sent using simu mbovu
Mkuu mi nawaombea watoe draw tu ili tumpite arsenal na tot atuzidi point 3 tu basi.
Huu ni wakati wa kumkata maini Tot.Mkuu mi nawaombea watoe draw tu ili tumpite arsenal na tot atuzidi point 3 tu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu matokeo yeyote Poa tu alimradi tushinde, Totts Kipindi cha kupoteza points kinakaribia, Arsenal hatusumbui. Ingawa akipigwa Spurs top four itakuwa even more interesting.Mkuu mi nawaombea watoe draw tu ili tumpite arsenal na tot atuzidi point 3 tu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri timu zote zitajifunga kama SpursYeyote atakayekatiza mbele ya Chelsea kwa sasa ni khalali yetu..
Itabidi iwe hivyo sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuna surprise results kama dhidi ya BurnleyMechi ngumu hapo Manchester city.. Chelsea mara ya mwsho anashinda OT ni miaka sita nyuma... Arsenal popote analiwa tu, Manchester city ndio pagumu.. lkn pia, Arsenal na Chelsea wanakufa kwa club yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
City ni timu ambayo ukienda kukomenti kwenye Uzi wao inakuwa kama umefukua kaburiHuyo dogo ni mamluk wa city wa kumpuuza tu
City ni timu ambayo ukienda kukomenti kwenye Uzi wao inakuwa kama umefukua kaburi![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo nitakua niko namba tatu nakula bata pale, huku spurs akiwa namba nne, wewe na mwenzako mtaendelea kukaa huko Europa na akina Red Bull Salzburg
Huyu mtoto yupo vizuri sana. Kuna game mwaka jana Chelsea tulimpiga 2 kwa 1 Tominay aliupiga mwingi sana.Mtoto kafanya nimemsahau Matic.
Isingalikua upuuzi wa LVG, Arsenal mara ya mwsho kumfunga Manchester United ingekua 2010.. kwenye mashindano yote.. walitufunga 1-0 goli la Ramsey... kimsingi tokea 2007 tungekua tumepoteza michezo mitatu tu dhidi ya Arsenal
Mbona jamaa alicheza poa tuu. Kama ukiangalia game poa, the last 3 games sanchez amekua akicheza poa tu. Ofcozi ana improve to be fair.Huyu jamaa mbuz kwenye gunia jana ilikuwa siku yake lakin bado anastrugle
Mbona jamaa alicheza poa tuu. Kama ukiangalia game poa, the last 3 games sanchez amekua akicheza poa tu. Ofcozi ana improve to be fair.
Sent using Jamii Forums mobile app