Kashindwa kujiaminiHuyu Fred mbona kama ni mzigo?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Hawezi kubadilika kama Zana CoulibalyKashindwa kujiamini
.
Nilimuona mkuu.Mkuu mechi yao ta mwisho juzi na Leicester ulimuangalia? au mechi zao na Man City, Chelsea, Arsenal ulimuangalia?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Nilimuona mkuu.
Tatizo huyu dogo anaweza kufanya jambo mechi ya January, halafu kuja kucheza vizuri tena mpaka Novemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu fred-waa hapa hakuna mchezaji
Ndio maana timu iliyomuuza ilichekelea sana. Walimuuza kwa pesa kubwa wakati wakijua ni garasa.Huyu fred-waa hapa hakuna mchezaji
Kwani nywele ndio zinacheza mkuu.
Lukaku na Shaw leo cjui wamekula nn!! Wanacheza poa sana