Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Hapa leo kwa wamiliki wa vibanda umiza kuna mtihani mkubwa mnoo.
Watahitaji fimbo ya Musa ili wavuke.
Game ziko muda mmoja kama ana tv mbili anaonesha ipi???
C palace Vs man utd
Chelsea vs spurs
Arsenal vs bornemouth
Madrid vs Barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya leo ngumu aisee, kocha atakuwa na wakati mgumu kuchagua kikosi na mfumo..mbya zaidi tunaenda ugenini na Crystal palace sio timu ya utani utani!

Kwanini?Kwa kikosi cha leo tutakuwa na wakat mgumu sana pale katikati
Zaha ni mchezaji machachari na si mchezaji hatariPalace ina nguvu sana, ile pace ya Zaha nikiifikiria naona kuna kadi nyingi za njano kwa beki zetu, ikiwezekana na red kabisa. Na Dalot alivyo mzito sijui leo itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hii mechi ni ngumu sana kwa upande wetu lakini bado naamini tunaweza kushinda.Palace ina nguvu sana, ile pace ya Zaha nikiifikiria naona kuna kadi nyingi za njano kwa beki zetu, ikiwezekana na red kabisa. Na Dalot alivyo mzito sijui leo itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichofanyiwa Man City na Leicester na hawa Palace tena wote nyumbani kwaoPamoja na majeruhi mengi yanayoikabili timu yetu bado naamini leo inaweza kupata ushindi japokuwa palace ni timu ngumu hasa inapokuwa nyumbani. View attachment 1033630
Hatari sana leoKwa kikosi cha leo tutakuwa na wakat mgumu sana pale katikati
Mkuu mechi yao ta mwisho juzi na Leicester ulimuangalia? au mechi zao na Man City, Chelsea, Arsenal ulimuangalia?