Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hahaaa wewe jamaa unawataja makocha ambao kaz zao kunusuru timu zisishuke darajaliva wepesi wale, Tony pulis angewalamba hata 4 wale...... Ole ni mhamasishaji tu, yani pake man u ye ni kama MC wa shughuli
Jamaa unanifanya nacheka sana ,klopp, OGS,Zinade hao wote sifuri hakuna kitu. Hawana mbinu....... wana motisha. Tafuta Pep au Tony pulis ndio watu wa tactics
Huyu jamaa sijui anaelewa nn kuhusu taaluma ya coaching "namuangalia nasema hiiiì"
Yaan jamaa ndio maana amehisiwa mamluki, anawataja makocha ambao kaz zao ni kunusuru timu zisishuke daraja, yy anakwambia ndio wanafaa kuifundisha man uHuyu jamaa sijui anaelewa nn kuhusu taaluma ya coaching "namuangalia nasema hiiiì"
Huyu mtu huwa sina wasiwasi nayeye.Scott McTominay covered more distance (11.79km) than any other Man Utd player vs. Liverpool.
Huge effort.
View attachment 1032149
Tukumbuke na el clasico ipo.Vibanda vingi mwisho ni tv tatu ....najua wengi wataonesha gem ya chels vs spurs....palace vs utd....kati ya aseno na liver itabidi mashabiki wenye influence kubwa kweny hiko kibanda ndo gem yao ioneshwe
- Manchester United have made contact with the agent of Sporting Lisbon midfielder Bruno Fernandes, according to reports in Portugal. (Sun)
Leo kazi ipo, ila kwa utabiri wangu wengi wataonyesha hiziTukumbuke na el clasico ipo.
Leo mambo yatakua mgumu sana hasa ukiangalia performance ya Crystal Palace ilivyo, wametoka kumpiga Leicester goli 4 juzi.Leo tunatokaje wakuu??
Injuries kama wote..
Mfumo 4 - 4 - 2 , Sánchez na Lukaku mbele.Leo tunatokaje wakuu??
Injuries kama wote..
Leo tunatokaje wakuu??
Injuries kama wote..
Huyu mchezaji akipatikana hakika utakuwa msaada sana katika timu haswa kwenye zile attacking zetu. Yuko vizuri
Uzembe gani mkuu wakati tumetoka kuwanyang'anya City tonge mdomoni, kwenye uamisho wa sanchez na fred?Madogo kama hawa tunafanyaga uzembe wanabebwa na City.
Mfumo 4 - 4 - 2 , Sánchez na Lukaku mbele.
1. De Gea
2. Dalot
3.Shaw
4.Smalling
5.Lindelof
6.McTominay
7.Young
8.Pogba
9.Lukaku
10.Fred
11.Sánchez
SUB: Romero, Baily, Tahith Chong, Jimmy Garner , Ángel Gómez, Pereira, Rashford.
Bila mechi ya Man U hupatu wateja tukiacha unafiki*NA HUU NDIO MSIMAMO WETU WAMILIKI WA MABANDA UMIZA TANZANIA*
BAADA YA MKANGANYIKO KUHUSU UBAO WA MATANGAZO TUTAANDIKA GAME GANI ZITAKUWA LIVE....
SASA TUMEKUJA NA MSIMAMO WETU KWAMBA TUTA RUSHA GAME MBILI TU.....
*ARSENAL v BOURNEMOUTH*
*BARCELONA v REAL MADRID*
HIZO GAME ZILIZO BAKI MUKAANGALIE HUKO CHUMBANI KWENU NA FAMILIA ZENU... FULL STOP.....
*BY*
*UMOJA WA WAMILIKI WA MABANDA UMIZA TANZANIA*
Sent using Jamii Forums mobile app
Utazikwa nao,(##) wakoMungu saidia zaha amvue chupi olejinga