GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Huyo jamaa anasemaje OGS hana mbinu wakati kaona kabisa utofauti wa kipindi cha 1 na kipindi cha pili. Mane, salah wote waliwekwa mfukoni, big chances zote tumezitengeneza sisi. Tulishikwa first half kwa sababu wachezaji muhim waliumia, iv wew haujui kwamba herera ndio injin ya ukabaji na kuanzisha mashambulizi? Haujui pia kwamba tulimkosa matic leo? Lakin pia hebu litizame benchi letu ambavyo lilikuwa na wachezaji wengi ambao hawako kwenye kiwango bora. Lakin pia baada ya half time je haukuona tulivyocheza kwa ufundi kiasi cha kui ua midfield ya liver?Wabongo sisi tatizo ujuaji mwingi, angekuwa hana mbinu leo Liverpool wangeondoka na magoli sio chini ya matatu.
Angekuwa hana mbinu tusingembomoa Chelsea.
Halafu kocha hayupo peke yake, ni bench zima ndio linafanya kazi.
Big mistake kumuingiza Lingard kipindi cha kwanza wakati ni majeruhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kajitahidi sana kuibadili man United ..saiv pogba yuko huru anateleza tu ..timu imekuwa na hari ya ushindani sana. Japo ni mapema kusema apewe timu, pengine ni upepo tu unamwendea vizuri..Mpongeze kwanza solskjaer mzee
Yani Liverpool ndo basi tena, Klopp ni fungu la kukosa Siku zote..Kwa majeruhi yasiyotazamiwa leo na mmeshindwa kushinda
Kweli Liverpool hamna timu ya kubeba kombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Nina gemu na wewe huwezi jua nini kitatokea..Mkuu umerudi? Karibu tena
Lakini hatujasahau kwamba ulitamba na tukakupiga 2-0 pale darajani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mlitufunga tu kwa sababu tuko vibaya kwa sasa..Wabongo sisi tatizo ujuaji mwingi, angekuwa hana mbinu leo Liverpool wangeondoka na magoli sio chini ya matatu.
Angekuwa hana mbinu tusingembomoa Chelsea.
Halafu kocha hayupo peke yake, ni bench zima ndio linafanya kazi.
Hahahaha ndani ya miaka kumi Liverpool wanakombe moja tu..
Tunakusubiri tena OT na majeruhi watakuwa wamepona....mbona mutaimba kichina pale..Wewe mlitufunga tu kwa sababu tuko vibaya kwa sasa..
Sio kwa mbinu za Ole..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mlitufunga tu kwa sababu tuko vibaya kwa sasa..
Sio kwa mbinu za Ole..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo gemu mbona mutaimba kichina !Bado Nina gemu na wewe huwezi jua nini kitatokea..
Japo tuna matatizo mengi kuanzia ndani had nje ya uwanja..
Sent using Jamii Forums mobile app
man u yetu bado sana. tukipata kocha kama warnoc yule jamaa aliyefukuzwa huddlesfield atatufaa sana. Tukimkosa bora tumchukue yule Tony Pulis alikuwaga anainoa Stoke city na west brom.
Bila ivo man u itazidi kupotea. Sanchez tumpe muda.
GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe si ulisema Liverpool lazima ashinde,,,nitakuambia pale ni OT..angalia sasa pamoja na kucheza wachezaji wengi wa kikosi B bado wameambulia sare!
Tunakuja ..tuone nini kitatokea..Tunakusubiri tena OT na majeruhi watakuwa wamepona....mbona mutaimba kichina pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe arsenal ulipigwa 5-1 hapo anfield .
Tumefunga Arsenal kwao, Spurs kwao, Chelsea kwao, tumesuluhu na Liverpool.. tumeruhusu goli moja tu la kufungwa michezo yote,Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Anaeenda mbele kati ya sisi na nyie ni nani??Nawakumbusha tu. Nafasi ya 6 mnarudi nyie. Then mi narudi nafasi yangu ya 4.View attachment 1031109
Sent using Jamii Forums mobile app