Sikutegemea kama Lukaku angetoa pass kama ile.Bolingoli leo katoa pasi ya hela kwa Lingard
Ila hao madogo wawili ni wazuri sema tunawa-underrate sababu hawachezi sana au kwa vile tunawalinganisha na wasio saizi zaokocha wa liver hana akili kabisa
Angecheza na manure iliyokamilika angefungwa nyingi leo.
Hahahaaa daud unamchukia Maurinho kuliko hata ARV anavyomchukia Martial.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulitamani ushindi wakati mnapongezana kwa droo?mnatamanije ushindi wakati mnawarate higher wachezaji wenu kwa hii drooEe man u wa maana. Hii hongera naipita kama sijaiona. Nilitamani ushindi
ulitamani ushindi wakati mnapongezana kwa droo?mnatamanije ushindi wakati mnawarate higher wachezaji wenu kwa hii droo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hapo hapo anfiled ulikula 3 ,Asno mida hii alikuwa ameshakula 3 alivyo cheza na Liverpool
Hehee.. Siyo nyie ndio mlitangulia na baiskeli hiyo sasa mumeanza kuporomoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan atufunge kwao aje darajani ashinde tena.. Tema Tot huyu mwenye majanga kibao kila leo shida.
Sent using Jamii Forums mobile app