Halafu aanakuja mtu humu anadai huyu kocha ni wakuokoteza.
Angekuwa jose hapa hii game angewaambia wazuie mwanzo mwisho hakuna kwenda mbele
Namuona sir alex ndani ya solskjaer kwa mara ya kwanza nimefurahi timu kuchezesha viungo wadogo na bado tukawasumbua
Nawakumbusha tu. Nafasi ya 6 mnarudi nyie. Then mi narudi nafasi yangu ya 4.View attachment 1031109
Sent using Jamii Forums mobile app
He didn't disappoint me
Mlikuja humu na hadithi za MUFC kufungwa nyingi,ghafla mmehamia kkwenye msimamo wa ligi. Vibonde Chelsea bwana.😀
Hii haina shida. Tangulieni na baiskeli ya miti.Nawakumbusha tu. Nafasi ya 6 mnarudi nyie. Then mi narudi nafasi yangu ya 4.View attachment 1031109
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo walizinguaBig mistake kumuingiza Lingard kipindi cha kwanza wakati ni majeruhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo huwa yupo vizuri, sijui labda wanaomwona live kwenye training wanajua mapungufu yakeHuyu Pereira tumpe muda wa kucheza,anajituma na anajiamini sana.
Wewe hili jukwaa mi sijaingia nina siku mingi na hata nilipokuja sikuongelea mechi yenu. Unanifananisha mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tot hatowaachaNawakumbusha tu. Nafasi ya 6 mnarudi nyie. Then mi narudi nafasi yangu ya 4.View attachment 1031109
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema?Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
I hope OGS is learning through these mistakeHapo walizingua
Sent using simu mbovu
Yan atufunge kwao aje darajani ashinde tena.. Tema Tot huyu mwenye majanga kibao kila leo shida.
Siku hazigandi chiefYan atufunge kwao aje darajani ashinde tena.. Tema Tot huyu mwenye majanga kibao kila leo shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe numbisa wewe ni manure?hongera kwa kupata drooTungekua na huyu kocha tangu mwanzo ingekua poa sana