Kante he is not happy with Sarri , In summer PSG will go for him if they resolve FFP issue with UEFA.Tulifanya ujinga sisi wenyew tulitakiwa kumchukua kabla hajaenda Chelsea, nikama tulivyozingua kumchukua De bruyne kabla hajaenda City..Chelsea hawawezi tuuzia Kante hata kwa Million 100,hawawezi rudia kosa walilofanya Kutuuzia Matic
Matic anauza jezi gani?Ningekuwa Woodward hata £ 100m ningetoa kumnunua Kante tatizo Kante sio mchezaji wa kuuza jezi ndio maana hamuoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato
Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa soko la sasa £100M ni hela ya kawaida. Labda Kante alete maringo. Sidhani kama kuna wachezaji wa kueleweka kwa bei ya £50M kushuka chini.Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba niwaulize nyie wazoefu; hivi situation ya Sanchez inatofauti gani na Falcao kwa Man U? Na kama huyu Sanchez yeye binafsi anaamini bado ana potential kwa nini asiwape man u clear plan yake, ama lazima acheze kila mechi au la anaondoka, kwa nini anakosesha watu usingizi?Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanchez ni mzigoNaomba niwaulize nyie wazoefu; hivi situation ya Sanchez inatofauti gani na Falcao kwa Man U?
Hata mimi naona, yeye na lukaku wanacheza kwa bidii sana ila output ni ndogo sana.
kaseme tena full time
Walete hela pia hata kwa sanchez,sisi tufanye mambo ya msingi..Hivi wachina hawakumuona Sanchez wakamchukua Fellain?