Pole. Inaonekana roho ina kuuma sanaWakapambane hivyo hivyo wakienda Ufaransa kama walivyo pambana juzi kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
MATOKEO MAN 2-CHELSEA 0 ,,,Huko uliko sijuwi upo ktk hali gani,,,,NAONA UMEKAA MKAO WA 4 na 0 UMEIKALIA,,,,Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..
Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.
Nyumbani anakutandika mbili nunge..
Man city dawa yao wataipata tarehe 25..
Cc.@Ollachuga Oc
Kama ambavyo ulikimbia baada ya kufungwa 6 afu ukarudi baada ya sisi kufungwa na PSG, basi karibu leo kutupa hongera zetu
Kwa nini uteseke????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufaransa anything can happenWakapambane hivyo hivyo wakienda Ufaransa kama walivyo pambana juzi kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata red card FA cup unamiss pia mechi za ligi..Mkuu hii ni FA na hiyo mechi dhid ya liverpool ni ya Ligi...kwahy visingehusiana mkuu
Upo mkuu, umekuwa adimu kidogo hapa uzini........Chelsea XI: Arrizabalaga; Azpilicueta, Rüdiger, Luiz, Alonso; Jorginho, Kanté, Kovačić; Pedro, Hazard, Higuaín
Subs: Caballero, Christensen, Zappacosta, Barkley, Hudson-Odoi, Willian, Giroud.
Man Utd XI: Romero, Young (c), Lindelof, Smalling, Shaw, Herrera, Matic, Pogba, Mata, Lukaku, Rashford
Subs: De Gea, Young, Dalot, Fred, McTominay, Pereira, Alexis
Vinahusiana.Mkuu hii ni FA na hiyo mechi dhid ya liverpool ni ya Ligi...kwahy visingehusiana mkuu
Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..
Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.
Nyumbani anakutandika mbili nunge..
Man city dawa yao wataipata tarehe 25..
Cc.@Ollachuga Oc
Kama ambavyo ulikimbia baada ya kufungwa 6 afu ukarudi baada ya sisi kufungwa na PSG, basi karibu leo kutupa hongera zetu
Kwa nini uteseke????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msimu huu pale London Kuna timu gani ingene ikitoa hiziOle gunna solskjaer kaibakisha cystal palace tu awe amezifunga timu zote za london
Sure Mkuu, Card za FA zinazungukakote Carabao,FA na EPL na vise versa... kwasabu FA ndo wanasimamia hayo mashindano yoteUkipata red card FA cup unamiss pia mechi za ligi..
Mkuu umeelewa hii post au umejiandikia tu??MATOKEO MAN 2-CHELSEA 0 ,,,Huko uliko sijuwi upo ktk hali gani,,,,NAONA UMEKAA MKAO WA 4 na 0 UMEIKALIA,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mlioanza kushabikia mpira juzi, aliyekwambia red card ya FA haiusiki EPL ni nani?Mkuu hii ni FA na hiyo mechi dhid ya liverpool ni ya Ligi...kwahy visingehusiana mkuu
NDIO MKUU
Off course Matial anazingua sana! Hajitumi kama wengine wanavyoonyesha kujituma uwanjani!!We jamaa una chuki na martial naangaliaga sana comment zako kila tunapocheza lazima utamdiss martial
.
Watu wanaangalia mpira lakini hawaelewi kabisa.Nyie ndio mlioanza kushabikia mpira juzi, aliyekwambia red card ya FA haiusiki EPL ni nani?