Yea ana kamgomo anataka kusepa club kubwa zinamtaka barcelona wapo wameona potential yake yaan hakuna kitu muhim kana central striker kujua kujiposition yaaan ni jamii ya akina rud van esteroyKingine...yule jamaa ana bahati c mchezo, nacheki sana game za inter 7bu ya yule Icard sema saiv kama ana kamgomo fulan hiv
Ndio maana hawa madogo akina rashford bado saaaaana pale mbele yaan baaaado sana kufika level hata za akina vaneestroy yaan nikiwachek wanavoruka ruka mbele pale hua napata hasira saaana sijui hua hawachek zile clip za akina rud yaan inaboa madogo hao sio carible ya man u waende kwa mkopo somewhere like wolves wakapambane namba na akina jimenez kule wajue thaman ya kua united striker sijui hua hawaangalii hata clip za mtu mweus luis saha mamaeeeeYea ana kamgomo anataka kusepa club kubwa zinamtaka barcelona wapo wameona potential yake yaan hakuna kitu muhim kana central striker kujua kujiposition yaaan ni jamii ya akina rud van esteroy
Hamna mkuu sio kwa perspective hio united hatuwez tegemea hawa teenagers akina rashford sijui lingard turud zama za akina tevez berbatov rooney saha ronaldo ruuud vaneestroy dwiyt yorke mamaee unatokaje hapo sio hawa madgo kazi kuweka kalikiti nywele tu mim nawachukia saaaana sio wapambanaji yaan kulia lia tu kwa refa aàaargKumtamani Icard na kumdharau Lukaku au Rashford au Martial inanikumbusha tabia ya Wanaume wengi
Unatamani demu wa mshikaji na kumuona wako kama wa kawaida, siku ukimpata huyo demu wa msela na kumuacha wako mara baada ya kumzoea unaanza kujuta tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Download Burma TvNdugu zangu, mwenye link afanya first aid.
Link zangu zote zimebuma aisee. Msaada tafadhali