Hahahaha kwa jinsi ulivyotaja hao wachezaji ni kama vile wanacheza QPR au Readings au Bolton uko...
Yani kuwapata ni kama unachota maji kisimani iv..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kwa jinsi ulivyotaja hao wachezaji ni kama vile wanacheza QPR au Readings au Bolton uko...
Yani kuwapata ni kama unachota maji kisimani iv..
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn..hao wachezaji utaenda kuwachukua tu kama unachota maji baharini??
Mkuu sorry, umeongea kama hao wachezaji wako academy ya man u.
Marco verrati si rahisi PSG kumuachia, muda huu ambao wanamuhitaji sana.na hata wakimuachia itakuwa ni kwa pesa ndefu sana, so sizani kitu kaa hicho kinaweza tokea. Lakini ni kweli angetufaa sana nazani kucheza eneo la matic pia.
Christian Eriksen, sawa tatizo levy, jamaa yule ni mgumu sana kudeal nae,
Harry Maguire sina neno,
Harry Kane, hii kitu ni ngumu sana, nazani ni 150+£, club yetu haiwez kuspend hivyo , wakati kuna maeneo mengine yanaitaji additions, pia kwanni tulete CF wakti kuna Rashford na Greenwood wanakuja.
Rabiot, huyu atapatikana free, lakini huyu ni more attacking, means ukimueka pamoja na pogba unahitaji DM mzuri sana(sio huyu matic aliyeanza kuchoka)
Ila naamin kocha mzuri anaweza kuwatumia vzr tuu.
Rabiot, mama yake ndiye agent wake, ni wasumbufu kiana.
Anyway cha mhimu tupate RW, Deep playmaker, CB, Na RB.
Sent using simu mbovu
Damn..hao wachezaji utaenda kuwachukua tu kama unachota maji baharini??
Kwanini Man Utd tushindwe kuwanunua hawa?Damn..hao wachezaji utaenda kuwachukua tu kama unachota maji baharini??
Sijasema tunashindwa..lakini sio rahisi kama tunavyodhani..spurs wamuachie erisken,psg watupe verrati,,mara reus..sio rahisi kihivyoKwanini Man Utd tushindwe kuwanunua hawa?
Kama Juventus wameweka mpunga kumtaka Mohamed Sallah. Sisi tunashindwa vipi kuwachukua kina Mbappe nk?
Man City ataingia sokoni atawanunua na kuwatumia. Tutabaki kupiga story zilezile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo aliondoka Utd baada ya kufika dau.Sijasema tunashindwa..lakini sio rahisi kama tunavyodhani..spurs wamuachie erisken,psg watupe verrati,,mara reus..sio rahisi kihivyo
Ni kweli lakini pia maamuzi ya kuhama club hafanyi mchezaji pekee,Ronaldo aliondoka Utd baada ya kufika dau.
Hao wachezaji ukifika dau unamchukua tu labda yeye binafsi akatae.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo diogo dalot itamchukua tena miaka miwili ndio afikie uwezo wa ashley young huyu tunayemshuhudia kila wiki, timu yetu bado haina mlinzi wa kulia anayekwenda na mdundo wa kisasa na kitendo cha ashley young kupewa mkataba mpya ni dalili iliowazi ya kwamba klabu haina mpango wa kutafuta mlinzi mwengine wa kulia ambaye uwezo wake unalingana na wachezaji kama kyle walker, thomas meunir, benjamin parvard, dani carvajal n.kRB yupo Dalot, ni kweli verrati ni ngumu kumchomoa PSG ila inawezekana kama mchezaji mwenyewe atakuwa tayari.
Kumtegemea Rashford na Greenwood kwenye CF kwa team kama Man u ni kuwaonea bado hawajakomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekuwa ivyo basi mungezaja wakina mess apo OT. Cr7 alikacha kwa sababu aliona miyeyusho tu apo..
huyo diogo dalot itamchukua tena miaka miwili ndio afikie uwezo wa ashley young huyu tunayemshuhudia kila wiki, timu yetu bado haina mlinzi wa kulia anayekwenda na mdundo wa kisasa na kitendo cha ashley young kupewa mkataba mpya ni dalili iliowazi ya kwamba klabu haina mpango wa kutafuta mlinzi mwengine wa kulia ambaye uwezo wake unalingana na wachezaji kama kyle walker, thomas meunir, benjamin parvard, dani carvajal n.k
kwenye ishu ya kuzungumza ukweli ndipo nilipokuwa nikimpendea jose mourinho, sijui kama kocha ajaye atakuwa mkweli au ahsante bwana.
ngoja tuone kwa atakayekuwa hai
Unauhakika Ronny alikacha kurudi Man u akitokea Madrid? Mkuu unaongea kwa mihemko na inawezekana hata Man United hatukumlist kwenye target zetu kabla hajaenda juventus....Kama ingekuwa ivyo basi mungezaja wakina mess apo OT. Cr7 alikacha kwa sababu aliona miyeyusho tu apo..
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya kuiangalia hii video kwa umakini nimefanikiwa kujifunza mambo yafuatayo:
hivi vyeo unavyonipa ni vikubwa kuliko cv ya vyeo aliokuwa nayo iddi amini dada, nahofia hivi vyeo vitanigeuza tabia zangu na kuwa shetani muandika upumbavu humu ndani.hebu ongeza nondo mkuu... It's a joy kusoma article zako kuhusu mwenendo wa timu hasa sporting director, usajili na kocha mpya... Unaelezea vitu vingi muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo diogo dalot itamchukua tena miaka miwili ndio afikie uwezo wa ashley young huyu tunayemshuhudia kila wiki, timu yetu bado haina mlinzi wa kulia anayekwenda na mdundo wa kisasa na kitendo cha ashley young kupewa mkataba mpya ni dalili iliowazi ya kwamba klabu haina mpango wa kutafuta mlinzi mwengine wa kulia ambaye uwezo wake unalingana na wachezaji kama kyle walker, thomas meunir, benjamin parvard, dani carvajal n.k
kwenye ishu ya kuzungumza ukweli ndipo nilipokuwa nikimpendea jose mourinho, sijui kama kocha ajaye atakuwa mkweli au ahsante bwana.
ngoja tuone kwa atakayekuwa hai
Kama ingekuwa ivyo basi mungezaja wakina mess apo OT. Cr7 alikacha kwa sababu aliona miyeyusho tu apo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauhakika Ronny alikacha kurudi Man u akitokea Madrid? Mkuu unaongea kwa mihemko na inawezekana hata Man United hatukumlist kwenye target zetu kabla hajaenda juventus....
Wenzetu mnauwezo wa kumsajili nani kwa hali hiI ya Sorry ball? unaangalia.mechi za Dortmund lakini? kuona jinsi Pulisic anavyoleta wasiwasi hahahahaha inawezekana asifanikiwe akawa flop, time will tell...
Alafu Man United ukiachana na financial power, timu ina mashabiki wengi kukukomoa unavyodhanu, tukichanga dollar 1 tunaweza kununua first eleven ya Chelsea yote...this is Manchester
Sent using Jamii Forums mobile app