OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Sasa wewe ndo una uhakika wa kumaliza top four?Kama Europe hutegemei kushinda na sio kipaumbele chenu, uzeni timu na chukueni viti vya uwanja mkatumie bar
Tegemeo pekee la Chelsea kushiriki UCL next season ni kuchukua Europa, hii mbinu Jose aliitumia misimu 2 na ikifanikiwa. Kiufupi Chelsea hawezi kuingia hata top 5, japo Arsenal naye ni wale wale
United hana kikosi imara msimu huu, pia hana kikosi kikubwa sana. Kwa kuwa tupo realistic ndio maana club na mashabiki wanaamini kushindania UCL msimu huu ni kujidanganya. Kushiriki top 4 ni target tosha sana kulingana na msimu wa Man Utd ulivyokuwa na huwezi kuwa na msimu mzuri kila Mwaka
Clean a shit in your house then, come to criticize in mine
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa honeymoon hamkusema hivi, hii ya kwamba hamna kikosi imara imekuaj baada ya PSG kuwatoa mkuku honeymoon. Huko nyuma mlikuwa mnawataja tena wachezaji kwa majina yao. poleni sana. Hata sisi tupo kwenye top 4 hatujatoka, tumeteleza tu na tutarudi muda sio mrefu kuwatoa kwenye nafasi yetuKama Europe hutegemei kushinda na sio kipaumbele chenu, uzeni timu na chukueni viti vya uwanja mkatumie bar
Tegemeo pekee la Chelsea kushiriki UCL next season ni kuchukua Europa, hii mbinu Jose aliitumia misimu 2 na ikifanikiwa. Kiufupi Chelsea hawezi kuingia hata top 5, japo Arsenal naye ni wale wale
United hana kikosi imara msimu huu, pia hana kikosi kikubwa sana. Kwa kuwa tupo realistic ndio maana club na mashabiki wanaamini kushindania UCL msimu huu ni kujidanganya. Kushiriki top 4 ni target tosha sana kulingana na msimu wa Man Utd ulivyokuwa na huwezi kuwa na msimu mzuri kila Mwaka
Clean a shit in your house then, come to criticize in mine
Sent using Jamii Forums mobile app
We waache, walikuwa wanajidanganya na Ole Gunar na honeymoon imeisha ngoja waanze kuonja ugali wa njegere
Mkuu wala msipate shida na hawa watu Tar 24 watarudi mtaa wa 6 waliouzoeaWakati wa honeymoon hamkusema hivi, hii ya kwamba hamna kikosi imara imekuaj baada ya PSG kuwatoa mkuku honeymoon. Huko nyuma mlikuwa mnawataja tena wachezaji kwa majina yao. poleni sana. Hata sisi tupo kwenye top 4 hatujatoka, tumeteleza tu na tutarudi muda sio mrefu kuwatoa kwenye nafasi yetu
Mkuu Ollachuga fanyeni kweli Tar 18 na ninajua mtakuwa na hasira sana halafu sisi tutahitimia tar 24 hawana benki ya kunizuia hawa napiga pale pale OTHahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..
Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.
Nyumbani anakutandika mbili nunge..
Man city dawa yao wataipata tarehe 25..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio kitu kinachonogesha mpira cool mkuu
Na ndio kitu kinachonogesha mpira cool mkuu
Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..
Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.
Nyumbani anakutandika mbili nunge..
Man city dawa yao wataipata tarehe 25..
Sent using Jamii Forums mobile app
We waache, walikuwa wanajidanganya na Ole Gunar na honeymoon imeisha ngoja waanze kuonja ugali wa njegere
Kwangu naona timu yako ndio IPO kwenye sintofahamu maana mechi nyingi munapoteza na kwa idadi kubwa ya magoli .We waache, walikuwa wanajidanganya na Ole Gunar na honeymoon imeisha ngoja waanze kuonja ugali wa njegere
Sanchez auzwe anunuliwe Marco Reus.Disappointing UCL night
Kama OGS alivyosema, game ya jana ni REALITY CHECK. Imetupa fursa ya kujua timu yetu kiuwezo ipo wapi tunapokutana na wakubwa wenzetu.
Kumfunga Arsenal au Chelsea kunatupotosha kuufahamu uwezo wetu halisi
Hizi mechi pia ni reality check kwa OGS, kuona kama kocha anaweza kutufikisha wapi
Ukweli ni kwamba Ed alipoamua kutosajili January nilijua kuwa kwa mwaka huu hatuna mpango wa kufika mbali kwenye hii michuano ya UCL
Alexis anazidi ku prove kwamba yupo kwenye wrong club au United ilisajili wrong player. Jambo chungu kuhusu ndoa ya United na Alexis ni kwamba ni ngumu sana kutenganishwa. Ni timu gani inayoweza kumsajili Sanchezi na kumlipa £475K kwa wiki? TUENDELEE KUVUMILIANA SISI NA ALEXIS WETU.
Back to the core. Jose had a point, mashabiki pia tumekuwa sahihi, we have to spend on players. We have to remove passengers players.
Mechi ya jana Wachezaji waliofanya jambo/mambo linalokumbukika
Matic (Outstanding)
Herera (Average)
Pogba (Good)
Lingard (Good)
Degea (Good)
Waliokuwa na bad game Rash na Martial,
Bado naamini Lukaku ni muhimu kwenye timu yetu, kumuamini Rash kuongoza timu ni too risk
Kuelekea game ijayo (second leg)
Kuwa nyuma kwa goli 2 ugenini kumetuweka pagumu mno
Pogba kutocheza, haitatusaidia kabisa
But in champion League anything can happen
When its Manchester United, anything can happen
Coments za wasiojua mpira
Hawaelewi kuwa mpira ni dynamic sana. Wanasema angekuwepo Neymar au Cavani mambo kwa United yangekuwa magumu sana
U never know. Mfano jana PSG wamecheza direct football sana, na mpira wa direct ndio unamuwezesha Mbape ku shine.
Pengine. Narudia tena, PENGINE angekuwepo Neymar na mbwembwe zake angechelewesha mashambulizi na matokeo yasingekuwa vile.
Kwa sasa inatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea la maana.Sanchez auzwe anunuliwe Marco Reus.
Replacement ya fellain aje Marco Verrati au Rabiot
Juan Mata awe replaced na Christian Eriksen.
Phil Jones awe replaced na Harry Maguire au Skinnar
Replacement ya Lukaku anaweza kuwa Icardi au Harry Kane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea la maana.
Pesa ipo itumike japo Ed alivyo mchumi atagoma kutoa fungu la kununua hawa.
Usisahau Young na Valencia nao wa kuondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sorry, umeongea kama hao wachezaji wako academy ya man u.Sanchez auzwe anunuliwe Marco Reus.
Replacement ya fellain aje Marco Verrati au Rabiot
Juan Mata awe replaced na Christian Eriksen.
Phil Jones awe replaced na Harry Maguire au Skinnar
Replacement ya Lukaku anaweza kuwa Icardi au Harry Kane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn..hao wachezaji utaenda kuwachukua tu kama unachota maji baharini??Sanchez auzwe anunuliwe Marco Reus.
Replacement ya fellain aje Marco Verrati au Rabiot
Juan Mata awe replaced na Christian Eriksen.
Phil Jones awe replaced na Harry Maguire au Skinnar
Replacement ya Lukaku anaweza kuwa Icardi au Harry Kane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kwa jinsi ulivyotaja hao wachezaji ni kama vile wanacheza QPR au Readings au Bolton uko...Valencia hana nafasi tena man u young bado anaweza kuwa retained kama back up options tunapokuwa na injuries
Kwangu mimi naona tunawahitaji.
Marco Reus
Marco verrati au Rabiot
Skinnar au Maguire
Christian eriksen au delle Alli
Icardi au Kane
Sent using Jamii Forums mobile app