D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Mourinho aliwasajili Fred na Sanchez ili kuibania Man City,kumbuka Pep alikua anataka kumsajili Fred ili aje kumpunguzia majukumu Fernandinho na Sanchez alikua asajiliwe ili kuziba pengo la Sane alipopata majeruhi..!
Mourinho akaona haiwezekani Guardiola awasajili hao wachezaji,akaamua kutia fitna..!
Kinachotokea ni matokeo ya kusajili mchezaji ambaye haumuhitaji..!
Chief,wewe unahisi ni Ed ndiye aliyependekeza Alexis kusajiliwa na Man Utd..?mwenzenu bado nipo dilemma kwenye hii ishu ya kusajiliwa alex sanchez, inaniwia vigumu kuamini ya kwamba ni jose mourinho ndiye aliyependekeza dili la sanchez kuja man utd.
tukumbuke msimu uliopita jose alimuhitaji ivan perisic ili acheze upande wa kulia sasa kwa nini mourinho amkimbilie sanchez anayecheza upande wa kushoto kwa sababu dhaifu kiupande wangu ya kumzuia jamaa asisajiliwe na man city?
tujiulize ni nani aliyefaidika na dili la sanchez kati ya mourinho na ed woodward?
Alimdondoshea mata kwa kifua elegevu wake mata alishindwa kumiliki mpira lukaku alipaswa kuingizwa toka dakika ya 45 sio mata mbela kungekuwa sanchez,lukaku na rashford hapo tungepata namba 7 ambae angekuwa lukakuMwenye picha ya lukaku akiwa amegusa mpira mechi ya jana anitumie inbox
Serious wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wewe kunifunga mimi labda Mou arudi..lakini uyo Ole atakuwa na kibarua kigumu sana..
Maana katika gemu mbili ambazo tutakutana ..wewe hutoshinda gemu hata moja..
Sana sana utaambulia draw tuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
ina maana wes brown alitaka tuendelee kucheza na timu zenye kushabihiana na jang'ombe boys kiubora?WES BROWN amesema ilikuwa mapema mno kwa PSG kuikabili MANCHESTER UNITED iliyo chini ya OLE GUNNAR SOLSKJAER na pia ameongezea kwa kusema anachokiona yeye campaign nzima za kuendelea na UEFA Champions League zimekwamia hapo.
Bado hujamuelewaina maana wes brown alitaka tuendelee kucheza na timu zenye kushabihiana na jang'ombe boys kiubora?
kwa nini mkuu unasema sijamuelewa?
Ooh,mwanzo sikuelewa maana yako...kwa asilimia 60 ndivyo ninavyojiaminisha na kama si makubaliano ya kubadilshana wachezaji pia ed woodward angelikubali kuwapa arsenal paundi millioni 35 ili amnase alex sanchez.
dili limekuwa ni faida kubwa sana kibiashara kwa klabu.
hivi wachina na wajapani bado hawajatuma ofa yoyote kwa jamaa?Ooh,mwanzo sikuelewa maana yako...
Inawezekana upo sahihi chief..!
Sijasikia mkuu..!hivi wachina na wajapani bado hawajatuma ofa yoyote kwa jamaa?
ndio maana nikawaulizia hao jamaa waje watusaidie kutuondolea huyu mtumishi hewa anayetupa faida kubwa kwenye sekta ya biashara.Sijasikia mkuu..!
Ila mshahara anaolipwa Man Utd,huko ndiko anakoweza kuendelea kuupata...
Hiyo kitu kama ulikuwepo. Kuna mshikaji wangu nilikaa naye Jana, nikamwambia Martial ameumia angeingia LukakuJana baada ya kutoka lingard nilitegemea kumuona lukaku akiingia sio mata kwa gem ya jana kwa upande wangu naona kocha alichemka hapa
Sawa bana.*BREAKING NEWS*
*The total silence of the Manchester United fans on social media is proudly brought to you by Primary School Girls (PSG)*[emoji23][emoji23][emoji23]
*empty barrels will always make noise*
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app