Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kwel pogba alibadilika maana mpka alianza na kucheza marafu ya hovyo hovyo na kuishia kuzawadiwa ile kadi ya mwaliko, uyo martial naye karuka ruka tu kaishia kupata majeruhi, Sanchezo ndo kabisaaaa hamna kitu ..uyo Rashid naye hivi viushindi ushind vya kuunga unga vya EPL vimempa kichwa...angalia kitu anafanya.

Hivi muna shot on tagert ngap??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata simba haikufungwa sita bila uarabuni. Nyie itakua viwete si bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ukienda kwa fundi wa kitanda unamwambia akuchongee kitanda cha Simba kwa Chelsea hahahahahahaha.

Ni kweli kipigo cha goli sita kinauma sana lakini hatujatoka mahal popote.

Wewe uefa ndo ivo mashindano unayaaga..

Mupunguze sifa maana mulishusha hadhi ya PSG na kuona kila gemu mtashinda tu..

Kumfunga Fulham, Leicester kudraw na Barnley kuliwapa sana kakiburi.

NB: Kosa kubwa mtafanya ni kumpa timu uyo mmasai Ole..hahahahaha GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuona ole sendeka kadondoka sakafuni chali kifo cha mende ndembe ndembe.
 
Nyie wahuni nilitamani mkutane na BARCA ili mfundishwe mpira unachezwa vipi. Ningevuruga hilo li tim hapo katikati na hiyo back line Messi angeichakaza kama kawaida yake. Jiandaeni kwenda kusokomezewa dushee mkienda Paris

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…