Kisskey106
New Member
- Feb 6, 2019
- 4
- 2
Ushindi haupingiki leo mupenzi
PSG nipigieni bao 4 tu, zitatosha kuleta heshima hapa mjini.
haha ya man citƴ tuƴaache ƙwanza.Man city alishaleta heshima toka j2
Wengine hatukuona,alijibu nini?Ilikua poa martial ana aibu kinoma,sababu kubwa ni kwakua nusu ya reporters wanaongea kifaransa kwaiyo jamaa alikua kama translator pia.
Nilipenda alivyojibu if players wanataka solskjaer awe kocha after this season
Sent using Jamii Forums mobile app
WoiyooooUshindi haupingiki leo mupenzi
GGMU💪