OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kosa kubwa ambalo mtafanya.Kesho sio mbali
Umegeuka mtabir sasa kwa nini hukuwatonya mabosi wenu kuhusu sarri?
Top Four mwisho leo.Comment ya jamaa aliyesema top four mwisho kesho nimeisevu na iko protected
Timu zote kutoka jiji la Manchester zitatoka kapa msimu huu.Kesho utaadimika sana humu.
Sarri ni kocha bora Mara kumi ya Ole.Umegeuka mtabir sasa kwa nini hukuwatonya mabosi wenu kuhusu sarri?
Labda kwa kuvuta sigara
Kati ya Jones na Bailly nani utampanga na Lindelof jumanne??
United Fan
Kati ya Jones na Bailly nani utampanga na Lindelof jumanne??
United Fan
amna Mkuu adui yetu amekuwa rafiki Wa muda....Leo tunamtegemea yeye amnyuke chelsea vivyo hivyo tarehe 24 na yeye atatutegemea sisi tumnyuke Liverpool.kwa kauli za hivi karibuni pep anaonyesha mahaba ya wazi wazi kabisa kwetu.
next utd manager?
Baily jiandae kwa Red cardHyo ni Mechi ya Bailly kabsa! Wakimpanga Jones hyo mech tutaenda kutia aibu, Shida ya Jones hana speed alafu anamakosa mengi akiwa under pressure, sasa wale jamaa wana Mbappe unategemea nn hapo?
Hivi ule msiba wa 4G kutoka kwa Bournemouth wewe ndio ulikuwa kamati ya chakula? Ulibana sana bujeti mkuu. Msiba unaokuja mimi ndio nitakuwa kamati ya chakula.
Yeah Mkuu but we have to move forward let's forget that miserable momentsMourihno ni mtu mshenzi sana wakuu..yaani alitaka kutuambia hata top 4 kwetu kuinusa ni sawa na ardhi na mbigu..we are not there yet,lakini jamaa inabidi abebe lawama zote za kutukwamisha msimu huu at some point..
United Fan
Yeah Mkuu but we have to move forward let's forget that miserable moments
Sent using Jamii Forums mobile app
Mind game anataka tukaze kwa liverpoolkwa kauli za hivi karibuni pep anaonyesha mahaba ya wazi wazi kabisa kwetu.
next utd manager?
Nimekuambia kosa kubwa mtakalo fanya ni kumpa mkataba Ole.Labda kwa kuvuta sigara
Kwa nini hukutabiri mkataba wa sarri hadi mnashika nafasi ya 6 kama upo makini?