Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo Chong kupata namba kikosi cha kwanza cha Man Utd asahau..!
Next season wamtoe kwa mkopo tu..!
Uwezekano wa kupata namba upo ndio maana amesafiri naye

Kumbuka Mourinho alienda naye pre season USA

OGS ameenda naye Dubai

Na amecheza FA game ya Reading. Tena aliingizwa wakati game bado ni tight japo tulikwa tunaongoza goli 2

Pia inasemekana, OGS amegoma kuwatoa kwa mkopo yeye na Gomes January

Kwahiyo inaonesha dogo yupo kwenye mipango ya club na kocha wa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezekano wa kupata namba upo ndio maana amesafiri naye

Kumbuka Mourinho alienda naye pre season USA

OGS ameenda naye Dubai

Na amecheza FA game ya Reading. Tena aliingizwa wakati game bado ni tight japo tulikwa tunaongoza goli 2

Pia inasemekana, OGS amegoma kuwatoa kwa mkopo yeye na Gomes January

Kwahiyo inaonesha dogo yupo kwenye mipango ya club na kocha wa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu anaogombea nao namba sio wepesi kaka,pia bado wana umri mdogo...
Anyways,time will tell Broh..!
 
Solskjaer on Jones' new deal :
“Phil knows what it takes to be a Manchester United player, he has won the Premier League, FA Cup and Europa League and is now one of the senior players within the team.
“He is coming up to his 27th birthday and entering into his prime years as a centre half. We are delighted Phil has committed his future to the club.”


  1. ole gunnar ameyazungumza maneno haya kama nani?
  2. nakusudia je amehusika kwenye mazungumzo ya kupewa mkataba mpya kwa phil jones haliyakuwa ana miezi miwili tu tokea aanze kazi?
  3. kama hakushirikishwa kwa nini ameamua kuzungumza stori isiyomuhusu, wakati upande wa pili maurizio sarri alinukuliwa akisema ya kwamba hafahamu chochote kuhusiana na usajili wa pulisic kutoka dortmund?
  4. kama ishu ni kuifahamu timu basi hata antonio valencia anastahili kandarasi mpya, hivi kuna mwanadamu anayemshinda antonio valencia kwa kutumikia muda mrefu pale klabuni?
  5. je inawezekana maneno ya OGS juu ya phil jones ni tafsiri tosha ya kwamba jamaa ndiye kocha mpya wa manchester united anayesubiriwa kutangazwa na ndio ameshaanza kazi rasmi ya kujenga timu kwa ajili ya msimu ujao?
  6. kama sivyo kitatokezea kitu gani endapo kocha ajae atawakataa wachezaji aina ya ashley young, phil jones, smalling haliyakuwa wote wameshapewa kandarasi mpya?
  7. je inawezekana ed woodward anatudanganya pindi anapodai ya kwamba manchester united ina uwezo wa kumsajili mchezaji kwa gharama yoyote bila ya kuleta athari yoyote ya kifedha ndio maana ameamua kukimbilia kuwapa mikataba mipya wachezaji aina ya smalling, jones, young, mctominay kwa sababu hatuna uwezo wa kutafuta wachezaji watano au zaidi kwa dirisha moja kwa ajili ya kuziba nafasi zao ?
  8. hivi tuna uhakika gani kama ujio wa football director utaondoa matatizo ya klabu kwenye ishu za usajili wakati kisheria mwenye mamlaka ya kimaamuzi bado yatabaki kwa ed woodward ambaye ndiye CEO?

Post nzuri sema nahisi kuna vitu unachanganya mkuu..ngoja nijibu kwa uelewa wangu

1. Ametoa maoni yake kama Kocha/Manager wa Phil Jones.

2. Sidhani Kama kahusika cause hiyo sio kazi yake.

3.Story yoyote kuhusu United inamuhusu cause yeye ndo Manager/Head coach wa Club,hvyo kuliongelea jambo la mkataba wa mchezaji wake sio kosa hata kama hajahusika kwenye mazungumzo ya mkataba wa mchezaji. yeye katoa maoni yake tu.

4.Huwezi mfananisha Valencia na Jones kwanza wanatofatutiana Umri,Pili hata nafasi wanazocheza, Centre half anaweza cheza hata akiwa mtu mzima ila kwa full beki sio kitu rahisi.

5.Hivyo vitu havihusiani,hayo ni maoni yake tu.

6.Kupewa mkataba mpya haina maana kwamba huwezi uzwa mzee

7.Man Utd ni ipo Top 3 ya club tajiri duniani hata Messi uwezo wa kumsajili tunao

8.Hapana sio kweli, Director of Football kazi yake inahusiana na mambo yote ya usajili katika club na Maendeleo ya Academy ya watoto, hvyo akija hyo ndo itakuwa kazi yake na sio Woodward,sababu kwanza Woodward ni Mfanyabiashara tu sio mwana michezo na ndo maana mashabiki wengi wangependa DoF aje, maana wengi wanakuwa ni watu wanaoelewa soccer na Biashara vizuri.
 
Back
Top Bottom