Kama Leicester wangelikuwa na kikosi bora, United tulistahili kufungwa leo. Wachezaji kama Matic, Jesse hawa wamecheza mpira mbovu sana! Shukurani za dhati kwa team captain A. Young & A. Herrera.
Nadhani ingependeza kusema tulizidiwa lakini hatukucheza hovyo.
Sometime mpira nao bana, unaweza kucheza vizuri lakini ukapigwa kwa makosa madogo tuu (refer game ya tot OT)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game tumelala na viatu
Epl wameshamsoma ole
Ile midfield yetu ilipotezwa kabisa
Madogo wali press vizuri
Man u bado sana
Ole has to improve us kwa kweli
All in all GGMU