Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Walete mpunga mkubwa Fella akamalizie soka lake huko, tutamkumbuka kwa mchango wake.Manchester United are in negotiations with a Chinese club over the sale of Marouane Fellaini. (source: BBC Sport, Sky Sports & PA) #MUFC
Jamaa katupa Fa cup alimdondoshea mata pasi ya kifua goli la kusawazishaWalete mpunga mkubwa Fella akamalizie soka lake huko, tutamkumbuka kwa mchango wake.
Jamaa watatusumbua mipira ya juu, ni wachezaji wenye physic
Burnley wako hovyo sana msimu huu tuishi kwenye flow yetu ya Ole Ole ile ile matokeo yatakuwa mepesi hopefully namuona mata akirudi katika ubora wake leoJamaa watatusumbua mipira ya juu, ni wachezaji wenye physic
Lakini tuki stick kwenye aina ya mpira wetu tutashinda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Burney mechi zao 3 za mwisho ameshinda zote mkuuBurnley wako hovyo sana msimu huu tuishi kwenye flow yetu ya Ole Ole ile ile matokeo yatakuwa mepesi hopefully namuona mata akirudi katika ubora wake leo
Sent using Jamii Forums mobile app
on paper oh yeah ila kwenye pitch tusubiri dk 90 according to our starting XI