[h=2]kwa ninavyomjua SAF,...hamshikiki tena baada ya hapa, lol!...
[/h]hongera zenu, man citeh wameachia!!!!
Dah ... .... ... wakuu naona mme-serve match ya kesho, huku juu ungo umekuwa na tafrani kutokana na barafu inayoanguka kama vile hakutakuwa na jua tena. Mzee fungie keshatoa bahasha oops burunguti kwa referee kwa hiyo kuleni bata tu hadi wiki ijayo .... ..... ..... . . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalau wachezaji wataweza kuendeleza libeneke lao la kawaida ... ... u .... sho ... ...
Leo mimi niko upande wenu...No Drogba,No Ramirez,No Kalou, No Terry ,No Lampard,No Ashley Cole.Lazima tuwape dozi hata kama wako kwao
No Drogba,No Ramirez,No Kalou, No Terry ,No Lampard,No Ashley Cole.Lazima tuwape dozi hata kama wako kwao
Leo mimi niko upande wenu...
Teh teh......................Ni kwa leo tu mkuu................Lol!hongera kwa uamuzi wa busara, unajua ni vizuri kuepuka pressure zisizo za lazima
Teh teh......................Ni kwa leo tu mkuu................Lol!
Adui muombee njaa....
ndiyo uwanja wa darajani ni bomu lakini hiyo ya mechi kupigwa stop nadhani hukusikia vizuri...cheki bbc sport football live commentary kama unataka habari za uhakika.Kufuatia uwanja wa darajani kuganda na barafu mechi iliyokuwa ipigwe katika dimba hilo imepigwa stop na itapangiwa siku nyingine.
Nadhani hii ndo itaamua bingwa ni nani>source sky sports news saa 7mchn!