Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 989
- 1,281
Apo mnapoteza zote.Fixture ni ngumu sana..inamaana ndani ya wiki 5 tutakutana;-
1.PSG(Mara mbili)
2.Arsenal
3.Chelsea
4.Liverpool
5.Man city
Ni ngumu kupata point zote ila tutajitahidi tuwezavyo GGMU!! GGMU;!!
Utawezaje kumfunga bingwa wako?Hii njia tunayopita ni ya ubingwa FA CUP
Chelsea in February:
Na mimi nawaza kama wewe. Alikuwa anaiongelea spurs kwa nafsi yake.hiki ni kijembe cha wazi wazi.
binafsi mimi naona hiyo ni msg kwa CEO wa Spurs kwamba kama anataka trophies afungue pochi na aache ubahiri.
Tukimtoka Chelsea naamini tutakutana na mwepesi mmoja na kuzidi kusonga mbele zaidiHii njia tunayopita ni ya ubingwa FA CUP
Utakuta watu wanabishania Usimba na Uyanga humu!Frankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hivyo ulivyowasilisha hata wewe unaweza kuanzisha na watu wakaanza kujadili.Frankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 823085
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com
View attachment 823091
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m
View attachment 827629
Co-Chairmen: Joel na Avram Glazer
View attachment 975419
Interim Manager: Ole Gunnar Solskjaer
Manchester United Trophies:
League Tittles: 20
First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)
European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)
FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)
League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)
Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)
View attachment 827615
Manchester United Trophies' Cabinet
View attachment 514134
Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)
Follow this thread for team updates!




Definitely right thread ya Manchester united lakn mengi yanazungumziwa ni kuhus team nyingineFrankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app