Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu hivyn ulivyowasilisha hata wewe unaweza kuanzisha na watu wakaanza kujadili.

mpira bila kumuongelea mpinzani hasa nguvu na udhaifu wake na utani pia huo sio mpira.

nawasilisha
Kwa kukazia mkuu hivyo vyote hujadiliwa sana tu.Ila ubishani na wadau wa timu nyingine ni muhimu na una nafasi yake kwani huchangamsha thread
 
FB_IMG_1548748768359.jpg
 
Frankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona huwa tunajadili sana kuhusu United

Ukweli ni kwamba huwezi kuijadili United 100% wakati, bila hao wapinzani hakuna United

Ukiwa na mechi ya karibuni dhidi ya Arsenal kwa mfano, lazima utawajadili, ukiwa unagombania top four na Chelsea na siku hiyo Chelsea anacheza na Wolves lazima siku hiyo uwataje.

Pia kuna suala la upinzani wa jadi, akipigwa City au Liver au Arsenal, lazima utawaongelea. Kiuhalisia unawaongelea hao (wapinzani) wengine kwa sababu u mshabiki wa United ambao ndio Uzi wetu huu. Ndio maana huwaongelei Cardiff (isipokuwa siku ukicheza nao) kwa kuwa sio wapinzani wako.

Wewe hujiulizi kwanini hatuwaongelei Wimbledon, lakini wiki kadhaa zilizopita tuliwaongelea Reading? Wewe hujiulizi kwanini mwaka huu tunawaongelea PSG na tunafuatilia hadi hali ya majeruhi ya Neymar na hatuwaongelei Sevilla? Tunawongelea hao kwa sababu kuna mahusiano makubwa kati ya United (timu yetu) na wao kwa wakati huu.

Lakini pia kuna kitu kinaitwa banter. Watu wakiwa wapinzani lazima wawe wanataniana na wana sanifiana. Hilo halikwepeki. Na hilo ndio soka.

Kama huamini pitia Uzi wa Chelsea uone kama hawaongelei United possibly sababu ya FA draw na kugombania top four. Au nenda Uzi wa Liverpool uone kama hawaongelei City.

Huwezi kukwepa kuongelea timu nyingine mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hivyo ulivyowasilisha hata wewe unaweza kuanzisha na watu wakaanza kujadili.

mpira bila kumuongelea mpinzani hasa nguvu na udhaifu wake na utani pia huo sio mpira.

nawasilisha
Sijakataa maoni yako ila nadhani usiwe ubishani wa Kuongelea timu nyingine mie ntakua nahisi kuwa weweni mshabiki wa Asernal na umelike Manchester Utd ili uwatoe watu mapovu . nadhani sio sehemu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba wewe..

Anzisha jukwaa lako uongelee Man United tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu msiwe na hofu sana, hata hao wapinzani wetu wanatuogopa sana hasa baada ya kuona kazi inayofanywa na vijana wa OGS, wanajua wanaenda kukutana na Man U ya aina gani na wanajua kabisa na wenyewe wanaweza kupoteza. Tuombe wachezaji wetu wasipate majeraha na unexpected red cards ambazo zitafanya kuanze kupata tabu.
 
Back
Top Bottom