loitimitimi
Member
- Aug 22, 2018
- 14
- 13
Mimi jana ungesikia nimezimia hahahaha kichwa kilikuwa so hot, Mou aliniondolea kile kiherehere cha kupost .Mimi nikiwa kwa TV afu goli lifungwe nisipost?? Nitaumwa kwa kweli
Sema kuna mechi nyingine ni hatari kuangalia kwa afya yako....kama leo kipindi cha pili nilihisi network imekata gafla[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anayehoji uwezo wa Jose kama kocha, huwa siku zote ninamshangaaMourinho ni Kocha mzuri sana kwa mbinu kuliko hata huyu OGS lkn tatizo ana ukoloni mwingi sn, kwani hapo unadhani OGS kuna anachofundisha kipya sana kuliko Wachezaji wenyewe kuwa na morali ya kujituma ili wapate matokeo mazuri?
Wachezaji walikuwa hawamtaki Mou tokana na mikwaruzano yake kila kukicha kati yake na Wachezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
He was on form kwakweli. Ila defence inamatundu ya kutosha.In one half, maana previous season alifanya 14 saves dhidi ya Arsenal..this time amefanya 11 saves all in the second half.
Ni kweli mkuu, ukiona kipa amepata sifa basi ujue mabeki wameharibu.
Huu mfano nimeupenda sanaila mashabiki sometimes hatupo fair kabisa linderlof huyu huyu ambaye mlikuwa mnamzodoa leo kawa lulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kane ni clinical bhanaMashambulizi mengi yametokea kati na upande wa kushoto Shaw hakuwa vizuri na Pogba& Martial hawakuwa wanamsaidia kukaba while upande wa Young haukuwa na shida Sana na Herrera alikuwa anamsaidia Young kukaba.
De Gea amefanya 11 saves na 6 zilikuwa clear chance timu yenye clinical striker leo tungefungwa hata goli 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana, Mata alikosa neno la kusemaMata alimwangalia De Gea halafu akashika kichwa akasema huyu mwenzetu kweli [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford ana possibility kubwa ya kufunga akiwa mbali kuliko akiwa karibu na goliRashford naona kaanza kuwa mtulivu pia mbele ya goli anatakiwa apunguze mapepe kabisa awe finisher mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Still upo activeMkuu ni kwamba Muna washabiki wengi kuliko nyuzi zote za Soccer humu JF na ndiyomana hata kipindi cha Mourinho plastic fans walipoukinbia uzi basi ulikuwa ukijaza page.
Kuhusu uzi kuwa Most Active si huu tu bali nyuzi zetu hazisogei sana kutokana na kuwa na Washabiki kidogo JF kiasi ya kwamba wanaocomment ni walewale tu.
Uzi uliokufa ni wa Arsenal Coz una Washabiki wengi JF kukaribia Man U lakini hausogei.
Hujataja kitu kimojaMkuu mathematically Arsenal akishinda dhidi ya Chelsea itakuwa advantage kubwa kwetu. Mkuu unajua unahamu sana ya kutoka nafasi ya sita, ila fikiria, Chelsea katuzidi point sita, arsenal tuko naye sawa, just goal difference. So arsenal akishinda na sisi Tukishinda dhidi ya BHA Chelsea atadrop na kuwa only 3 points ahead. Hiyo ni advantage kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha anafuta Burnley, relegation candidateMechi ijayo tuko na Brighton, an easy target.
Its like 6 pointsKuna mechi ambazo point 3 ni muhimu no matter how you win the game, a must win game. Game ya Tots was of that calibre.
Sent using Jamii Forums mobile app