Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Achaga kuandika kama mwanamke aliyetoka ku bleed mkuu.

Ungepaswa kuwa mpole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa valencia weka Young

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaga kuandika kama mwanamke aliyetoka ku bleed mkuu.

Ungepaswa kuwa mpole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwanamke alietoka ku bleed anashida gani?

Si ndio alivoumbwa biological mkuu?au shule ziro kichwani boss?

Hujui wanawake wote including your mom wamepitia hiyo stage? RESPECT womens hata kama upo empty head usijivue nguo kisa ushabiki vitumbua.

Niwe mpole wanini sasa?si nime correct ulichosema kuwa ni uongo na nikaweka usahihi wake.

Kuwa Spurs hawajawahi kusema popote watazindua uwanja against Man Utd bali ilikua iwe against Arsenal na wakaogopa kutokana na ugumu wa mechi.

Now wanategemea kuzindua against Crystal Palace on 14 March kama hawatabadilisha tena.

Sasa Kuna tatizo hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred ni mchezaji wa kawaida sana mkuu nafkiri kwa sababu yupo kwenye timu kubwa km manchester united ndio maana tunategemea makubwa toka kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
GGMU
Leo tunashinda..watu hawataamini goli tutakazofunga..Amen!

Ugiligili
 
Fred ni mchezaji wa kawaida sana mkuu nafkiri kwa sababu yupo kwenye timu kubwa km manchester united ndio maana tunategemea makubwa toka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sababu inayofanya awe anaitwa National team

Kuna sababu iliyofanya Pep atake kumsajili January 2018 kisha ikashindikana

Kuna sababu iliyoifanya United imsajili kwa almost £52 million

Bado tunasubiri kuiona hiyo sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi pepe alishatamka kumtaka Fred? Huo ni uhuni wa maajent kuongeza value ya mchezaji sokoni ili wapige kibunda kirefu

Kaka tuache ushabiki fred is overeted

Mimi ningekuwa kocha i would prefer to play felain instead of fred and the reason is fred anapokonywa sana mipira, anapiga pasi mfu, hana tecnical nzuri za kukaba he fits a lot to play at normal club like westham and not united

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred ni mchezaji mzuri tofauti na mnavyomuongelea. Ni kweli bado hajaweza kutulia kikosini, lakini it's too early to say he's overrated.

Nadhani kwasasa kwenye kikosi cha Man U, ukiambiwa upange, piga ua katika defence lazima uanze na De Gea, lakini mtu wa pili najua atakuwa Lindelof. Kuna anayekumbuka jinsi Lindelof alivyokuwa msimu uliopita? Anatoa pasi fupi na zisizofika kwa kipa? Alichoma mara ngapi ile mechi na Brighton Have? Mechi na Huddersfield.

All am saying, Mpeni Fred muda kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…