Manchester United (Red Devils) | Special Thread

KATIKA kuunga mkono juhudi za Mh Rais Magufuli za kupambana na Stress za Watanzania, KAMPUNI YA AZAM MEDIA imenunua haki za kuonyesha mechi za Kombe la FA ambalo MANCHESTEE UNITED wanashiriki.

Leo kuanzia saa 9:00 Mchana, Chennel zote za AZAM kuanzia AZAM ONE, TWO, HD, SPORTS 2, ZBC na SINEMA ZETU zitajiunga kwa pamoja kuonyesha pambano la MANCHESTER UNITED vs Reading. Hakuna Movie wala Sultan leo, starehe iko OLD TRAFFORD.

Sisi kama AZAM tunaamini kwa burudani ile ya MANCHESTER chini ya SIR OLE, pasi 3000, bao 3+, kanzu na matobo ya Pogba, chenga za Martial na Risasi za RashFord, basi Vijana, watoto, kina Mama na Kina baba wataburudika na kusahau matatizo yao ya Ada, kazi, masomo, kodi, mapenzi na changamoto nyingine za kimaisha.

Azam TV. Burudani kwa Wote

#MANCHESTER UNITED INAIHUDUMIA JAMII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusisingizie ugeni wa kocha ktk ku approach big matches.
Wachezaji wetu karibia wote wanasema sasa wanacheza kama utamaduni wa team unavyotaka, attach attach attach, Paul Pogba mwenyewe aliwahi sema kwamba Man U inapaswa kucheza kwa ku attach ktkt ya kutokuelewana kwake na Mourniho.

Maana yake ni kwamba wachezaji wetu wanajua siku nyingi sana mfumo wanaopenda na wanaouamini kuwapa matokeo, kinachotokea sasa sio nguvu za soda, wala sio upepo wa kocha mpya, ni Man U imepata fursa kuwa Man U, Hakuna slowdown wala U turn inayotegemewa.

Hata kocha wa Reading amesema, Man U inaweza shinda bila kuwa na kocha.

Matokeo yoyote Mabaya kwa timu hii huko mbeleni yatakuwa ni fact of chances, kwamba In football kuna one third chances za kushinda, one third chances za kudroo na one third chances za kufungwa
 
Ujio wa mourinho sir alex alipinga sana na bobby chalton hawakutaka apewe kazi kufuatana na soka lake na namna ambavyo hakai kwenye timu kwa muda mrefu ila hajapewa majukum yoyote kwa ushaur wa ki management huwa anahusika nasikia kuwepo kwa solskjaer na kocha msaidiz phelan alihusika kushawish bod wapewe kazi ya muda
 
Of all top 5, Hao Totenhum ni wepesi zaidi kuwafunga, loss rate yao ni kama yetu, wamefungwa mechi tano tumefungwa mechi tano (under mourinho).

sasa sielewi wanaopiga kelele eti mtihani halisi Man U itakutana nao kwa totenhum wanamaanisha nini
 
Lakini ukumbuke, katika mechi 5 tulizofungwa, moja to ndiyo tulifungwa OT, na mechi hiyo alitufunga Tottenham, tena ilikuwa goli 3 kwa 1.
 
Of all top 5, Hao Totenhum ni wepesi zaidi kuwafunga, loss rate yao ni kama yetu, wamefungwa mechi tano tumefungwa mechi tano (under mourinho).

sasa sielewi wanaopiga kelele eti mtihani halisi Man U itakutana nao kwa totenhum wanamaanisha nini
Unatambua toka 2013 spurs wao ni uhakika kumaliza top 4? Ukipata jibu utaangalia huo ulinganifu wako umetumia kigezo kipi.
 
Of all top 5, Hao Totenhum ni wepesi zaidi kuwafunga, loss rate yao ni kama yetu, wamefungwa mechi tano tumefungwa mechi tano (under mourinho).

sasa sielewi wanaopiga kelele eti mtihani halisi Man U itakutana nao kwa totenhum.

Kwa mtazamo wangu: kuiita Tottenham kama mtihani wa Man Utd ni kwa sababu chache zifuatazo:-
  1. Man Utd hajifunga timu yoyote iliyo juu yake kwenye msimamo,
  2. Man Utd alifungwa na Tottenham (OT), hii game mtakuwa ugenini,
  3. Tottenham ni moja ya timu ambazo ziko vizuri offensive, na Man Utd haina defense nzuri, so kila mshabiki anasubiri kuona mnatokaje,
  4. Timu mlizozifunga ni timu ambazo Tottenham kazifunga pia, hatuoni kama hayo ni maajabu, na
  5. Pochettino as a proved EPL Top 3 best coach vs unproven interim coach.
 
Jamaa anaichukulia poa spurs wametugonga sana mech za away labda kama kapoteza kumbukumbu

Nikimfunga spurs hapo sasa ntaanza kuijadili top 4 ndo mana huwa nipo kimya kuizungunzia top 4 kwa sasa
 
Hapa unaizungumzia Man U ya Mourinho. ambayo haikuwahi kuingia uwanjani kutafuta ushindi ilipokutana na top 5 wote.
 
Unatambua toka 2013 spurs wao ni uhakika kumaliza top 4? Ukipata jibu utaangalia huo ulinganifu wako umetumia kigezo kipi.
Katika kipindi hicho hicho, sisi tumechukua vikombe vingani wao vingapi?

Alafu Mkuu, ukubali au ubishe, Man U hii sio hiyo unayoizungumzia. Ni kama vile ukiizungumzia Man City unapaswa kuizungumzia man city ya Guadiola ukihusishe na nyuma ya hapo you end up with a very poor Man City, alafu unakua unajidanganya mwenyewe
 
Sawa
 
You have a point

Ila tukubaliane, tukimchapa Spurs hamtaibua hoja nyingine kum underrate OGS na United ya Msimu huu

Lakini pia, Wembley never felt at home to Spurs when they play against the big guns

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…