Valencia hana jipya ni mmoja ya wachezaji wa kuachwa miaka yote end product yake ni mbovuValencia kashindwa kutia kross hata moja au kuingia kwenye box la adui naona falsafa ya mourinho imemkaa
De gea lindelof jones valencia shaw herera matic mata pogba then mbele rashford na lukaku nafasi ya mata akichemka anaingia lingard akichemka stiker mmoja wapo anatoka anaingia sanchez au martial then inageuka 451Bado mapema kuwaanzisha wote, Lingard nadhani aliachwa kwa ajili ya game na Tot, Sanchez bado hajawa fit.
Game na Tot natamani Kama tutaanza na washambuliaji wawili, Rashford na Lukaku kwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu hana maana tena.Valencia hana jipya ni mmoja ya wachezaji wa kuachwa miaka yote end product yake ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanze kumsahau Sasa Mourihno, kila ukimuangalia Lendlof uwanjani, kuna Muda najisema basi Hakuna haja ya kusajili Beki wa Kati.Huyu Lindelof ndio Mourinho alituaminisha sio mchezaji mzuri duh
Huu upande wa Valencia Leo umetuangusha sana, Valencia alicheza zaidi na pasi za nyuma, alishindwa kupiga Cross, alikuwa tofauti na Luis Nani, alishindwa kupandisha timu.Valencia kashindwa kutia kross hata moja au kuingia kwenye box la adui naona falsafa ya mourinho imemkaa
Hata mimi nliwaza kama wewe. Huyu jamaa muda umemtupa mkonoValencia kashindwa kutia kross hata moja au kuingia kwenye box la adui naona falsafa ya mourinho imemkaa
Tatizo lake ni kucheza mipira ya juu tu akibadilika tayar katimia haruki juu
Upande wa shaw na martial ulikuwa busy sana yy kimyaaa
Ile winga yake jana ilikuwa imekufa. Yan jana inshort winger zote zilikuwa hazina mchango katika matokeo. Ndio maana match ilikuwa ngumuUpande wa shaw na martial ulikuwa busy sana yy kimyaaa
Bado Pochetino.Anything can happen japo siyo rahisi kuwashusha wanne waliotangulia.
Mtihani ngumu wa kwamza kwa OLG ni Benitezi then Pochetino. Akipata point 3 mechi hizo, imani itaongezeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial inampasa kufanya mazoezi ya physique. Dogo anakosa stamina na yupo too soft. Alafu apunguze ku-derribble. Anachezewa faulu ambazo hazina hata kadi ulimaanisha kuwa siyo mmjanja au anatengeneza mazingira yeye ya kuchezewa fauluHiyo mech tunamhitaji sana martial mech ya leo ilikuwa ngumu sana wale jamaa hawakupi nafasi kidogo martial alibanwa sanchez aingie kipind cha pili
Baily yupo.Namuona lindelof kaanza kuwa mgumu anatakiwa kumpata kaka yake sasa
Alhamdullilahy kwema kabisa naona jana tena tumeendeleza wimbi la ushindi ingawa ilikuwa mechi ngumu kwetu. Nakumbuka hawa jamaa tulitoka nyuma kwa goli zao mbili na kushinda tatu kwa mbili enzi zile za yule mtu. Huwa wasumbufu kiasi nashukuru tumewapa haki yaoSalama kabisa kaka sijui wewe!
The three lungs huyu mtu alikuwa khatari sana waqt ule big game zote zake watu walikuwa hawamuelewi babu mwanzoniPark Ji-sung, the first name on Sir Alex Ferguson's team sheet in the big games!View attachment 983997
Bailly mkuu muda wowote anakuchoma kuna faulo alisababisha kwenye 18 alikiwa anaokoa kona refa alichuna tu lilikuwa tuta lindelof anamsoma mtu anaemkaba hatumii nguvu kubwa kama Rio tu alivyokuwa akifanya.
Bado mapema kuwaanzisha wote, Lingard nadhani aliachwa kwa ajili ya game na Tot, Sanchez bado hajawa fit.
Game na Tot natamani Kama tutaanza na washambuliaji wawili, Rashford na Lukaku kwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mechi ilikuwa ngumu na mtihani wa kwanza kwa Guna. Wengi tuliitarajia na wachambuzi piaperformance ilikuwa ya kawaida sana kulinganisha na mechi zilizopita, wapinzani waliingia na mfumo wa kukaba mwanzo mwisho na kuzuia mashambuliza karibu na box lao.
muhimu tumepata points zote na kupunguza gap la top 4
Once United Always United