Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

New year walikula bata sana nini maana wachezaji wako slow kama wamelazimishwa
 
Martial na Rashford kama watoto wa udongo wanatamba wakati wa jua tu mvua ikinyesha inakuwa taabu kwao
 
New Castle waliingia kwa woga kuzuia tu na kushambulia kwa kustukiza wakirudi watashambulia kutafuta goli
 
Back
Top Bottom