Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushindi mfululizo wa mechi mbili usiwape kiburi na kuona kama timu imerejesha makali yake.

Hiyo ni kawaida timu inapopata kocha mpya morali hubadilika. Hata hivyo timu nzima ilionekana kupoteza morali chini ya manager Jose Mourihno na kuishia kucheza tu ili kukamilisha ratiba.

Mumeanza vizuri lakini bado mnahitaji kurecover mapema sana. Benchi lenu la ufundi likifanya vizuri chini ya Michael Carrick mnaweza kutoka na kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20181229_175121.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa yake leo ni kuendelea kumuacha ndani Harry winks baada ya kuona anaingia Joao Moutinho. Yani dogo alipotea mzima mzima!
Mkuu huyu kocha kwa misimu mingi ndio mwenendo wake huu, anaweza akafululiza mechi kadhaa anashinda halafu, anakuja kuzingua kipindi ambacho ushampa matumaini kwamba huyu ndo atakua mpinzani wa anaefukuzia ubingwa, tena anapeteza mechi muhimu kwa vitimu vya kawaida tu, hata msimu alochukua lecister city ilikua nafasi ipo wazi kwa spurs lkn alikua akipoteza mechi muhimu tena na vitimu vya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom