Manchester United (Red Devils) | Special Thread

He said: "It wasn't the best game. We were a bit slow for the first 20 minutes but they settled in and we scored some excellent goals.

"That (De Gea save) was the defining moment of the game. It was one of the best saves I have ever seen. That was a big big moment for us.

"He (Pogba) has got the attributes for scoring, and got a few assists last game. I was very pleased for him today. Paul is the same, he loves football and loves to go forward he has a big, big smile, and I have enjoyed working with him.

"The fans are fantastic here. I dreamt about a more exhilarating game and creating more chances, but we did enough."
 
Hizo ndo timu za kuchukulia points
GBWA-20181227000052.jpeg
IMG-20181226-WA0055.jpeg
 
bingo, ni ngumu sana kuamini ya kwamba ole gunnar solskjaer ana wiki mbili tokea ajiunge na klabu kama kocha wa muda, maneno yake anayoyazungumza yanakufanya uamini ya kwamba jamaa amekaa na wachezaji kwa zaidi ya msimu mmoja kumbe ni tofauti.

hivi ni nani asiyefahamu ya kwamba rashford anasumbuliwa na wahaka pindi anapokuwa eneo la adui?

jibu ni moja tu jose mourinho ndio maana hajawahi kusikika akitamka maneno kama aliyotamka mungu mwenye sura ya kitoto, kubwa utamsikia akisema wachezaji wake wana mambo ya kitoto.
shikamoo ole gunnar.
 
Kanifurahisha sana hasa finishing za rashford ni mbovu sana hata ukiambiaji wake mourinho kweli alikuwa hatoi maelezo kama haya rashford anahitaji kauli kama hizi ili akue kisoka nilikuwa naangalia goli za solskjaer ktk umaliziaji wake ni hatar sana
 
That what we like from our manager..kuona kasoro na kuzifanyia kazi

Hivi yule sterling kweli chini ya Mourihno si angekuwa ameuzwa huko porthsmouth??
 
"As Sir Matt once said, if you're good enough, you're old enough. We are built in that tradition. We need young players coming through. It's important for the academy and the players to know that you are helping to bring them through!" - Solskjaer on the youth. #MUFC
fulltimedevils-20181228-0001.jpeg
 
Kanifurahisha sana hasa finishing za rashford ni mbovu sana hata ukiambiaji wake mourinho kweli alikuwa hatoi maelezo kama haya rashford anahitaji kauli kama hizi ili akue kisoka nilikuwa naangalia goli za solskjaer ktk umaliziaji wake ni hatar sana
Ninaangalia marudio ya mechi ya juzi kuna mabadiliko katika ukabaji na pasi azipotei ovyo Kama zamani. Tunaitaji wachezaji kama wawili wenye uwezo wa speed wakati wa dribbling.
 
Back
Top Bottom