OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Itakuwa ndio goli la kwanza la Matic tangu aje Man united.
Hiyo para ya mwisho mkuu, tunaweza kufanya jambojose ameramba hela na nafasi yetu ya 4 mpaka muda huu na wiki tatu zijazo.
- kama klabu ingelifanya maamuzi ya kumuondoa jose mourinho kipindi kile tunafungwa ovyo naamini leo hii tungelikuwa mbali sana kwenye msimamo, fikiria ndani ya wiki hii majirani zetu wamepoteza point 6 lakini bado wametuacha kwa alama 12. Tunapaswa tuwasubirie wapoteze tena michezo minne ndipo tuweze kuzungumza nao lugha moja.
- tottenham hotspurs wametuacha nyuma kwa alama 13 kama nitakuwa nipo sahihi. unapoizungumzia tottenham kwa haraka haraka unaizungumzia timu ambayo ina mwaka wa 4 inasimama nafasi za juu hivyo basi kuiondoa kunahitajika maombi ya nchi nzima kwa sababu tayari wameshapata uzoefu.
- arsenal na chelsea kwa pamoja wametuacha kwa alama 5 mpaka nyakati hizi hawajaingia uwanjani, kwa msimamo ulivyo timu mbili hizi ndio tunaziombea njaa zifanye vibaya kila siku kwa pamoja ndipo tusogee mbele.
imekuwa ni rahisi kumsubiria yesu arudi kuliko kuisubiria manchester united isogee japo nafasi ya tano.
GGMU.
Nikumbushe ni gemu ipi alishawahi kufunga.Hapana
umesahau lile rocket last season against Palace
Dah kwa kweli gepu ni kubwa na inatupa presha, ila cha muhimu ni sisi kushinda na kusubiri yatokanayojose ameramba hela na nafasi yetu ya 4 mpaka muda huu na wiki tatu zijazo.
- kama klabu ingelifanya maamuzi ya kumuondoa jose mourinho kipindi kile tunafungwa ovyo naamini leo hii tungelikuwa mbali sana kwenye msimamo, fikiria ndani ya wiki hii majirani zetu wamepoteza point 6 lakini bado wametuacha kwa alama 12. Tunapaswa tuwasubirie wapoteze tena michezo minne ndipo tuweze kuzungumza nao lugha moja.
- tottenham hotspurs wametuacha nyuma kwa alama 13 kama nitakuwa nipo sahihi. unapoizungumzia tottenham kwa haraka haraka unaizungumzia timu ambayo ina mwaka wa 4 inasimama nafasi za juu hivyo basi kuiondoa kunahitajika maombi ya nchi nzima kwa sababu tayari wameshapata uzoefu.
- arsenal na chelsea kwa pamoja wametuacha kwa alama 5 mpaka nyakati hizi hawajaingia uwanjani, kwa msimamo ulivyo timu mbili hizi ndio tunaziombea njaa zifanye vibaya kila siku kwa pamoja ndipo tusogee mbele.
imekuwa ni rahisi kumsubiria yesu arudi kuliko kuisubiria manchester united isogee japo nafasi ya tano.
GGMU.
ndio tunavyoomba mkuu lakini tatizo tunaowania nafasi msimu huu ni wengi.Hiyo para ya mwisho mkuu, tunaweza kufanya jambo
Ni kweli mkuundio tunavyoomba mkuu lakini tatizo tunaowania nafasi msimu huu ni wengi.
arsenal msimu huu wameamka na wewe mwenyewe umeshuhudia wameweza kupambana mechi 20 bila ya kupoteza.
chelsea na wao licha ya kuwa na tatizo la umaliziaji lakini bado wana kikosi chenye nguvu ya kupigania nafasi ya 4.
sarri anafahamu fika kama hatopata nafasi ya 4 kibarua hana.
solution yetu ya kwanza ni kushinda mfululizo kama liverpool waliyofanya round 1.
upo sahihi muheshimiwa, halafu wiki hii arsenal wanacheza dhidi ya liverpool, japokuwa siwapendi liverpool lakini itanilazimu niwatakie kila la kheri wapate ushindi kwa sababu kufungwa kwa liverpool ni hasara zaidi kiupande wetu.Ni kweli mkuu
Lakini kwa tofauti ya points 5 au 8, lolote linaweza kutokea
Arsenal ameonesha anaweza kudondosha points kwa timu kubwa na hata ndogo (rejea Southampton kwa upande wa timu ndogo), Chelsea hali kadhalika (rejea Wolves, Leicester).
Ninakubali wapo vizuri, lakini United wakikaza kwenye mechi na timu ndogo ninaamini chochote kinaweza kutokea
After all kuna mechi mechi 19 zinasubiriwa ili ijulikane mbivu na mbichi mkuu
Kweli kabisa mkuuupo sahihi muheshimiwa, halafu wiki hii arsenal wanacheza dhidi ya liverpool, japokuwa siwapendi liverpool lakini itanilazimu niwatakie kila la kheri wapate ushindi kwa sababu kufungwa kwa liverpool ni hasara zaidi kiupande wetu.
Wakaanga sumu naona siku hizi mmepunguzwa spidi ya maneno kabisaPogba ni mchezaji mzuri sana.
Mnaweza kafanya vizuri uefa kupitia yeye.
Ole: “I said to the staff towards the end, next week we will have Sanchez, Martial and Lukaku then we will really finish them off."Sanchez aliumia kwenye mazoezi November 29 na hatacheza tena mpaka mwakani,alitegemewa kuwa fit baada ya wiki 6 So far ameshakaa nje almost mwezi mmoja hizo siku 8 unazihesabu vipi?
From November 29 to December 29 =31days sio 8 daysOle: “I said to the staff towards the end, next week we will have Sanchez, Martial and Lukaku then we will really finish them off."
Point ya msingi kapona harakaFrom November 29 to December 29 =31days sio 8 days
6Goal Difference Ngapi Mpaka Sasa Maana Mechi Mbili Bao Nane
Kweli tuna kazi ngumu sana yani ingawa mpira unadunda ngoja tuone.jose ameramba hela na nafasi yetu ya 4 mpaka muda huu na wiki tatu zijazo.