ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Naona Gea habib anashangaa tu!
kumbe siku ndio anaitwaga hivyoo...
Naona Gea habib anashangaa tu!
man 6 mpo?
Yesssssssssssssssssssssss PARK
1-1
Tupo tunamkandamiza Liverpool hapa
Sema anajua,hata nyie si mnae mvimba machohuyu. mvimba macho ana bahati kweli ..
Livapuli hawashambulii kabisa! Wanaweza wakaongezewa la pili kabla ya HT!
bora looserfool waingie kuliko hao manure from old trashfold..
Jirani mbona una hasira sana,au sababu tulikufungisha viragobora looserfool waingie kuliko hao manure from old trashfold..
Huu ni muda muafaka kwa Chicharito kuingia