Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakati anasema hayo maneno alikuwa ameshaondoka United (2013) na alikuwa hata hana ndoto kama kuna siku atarudi United kama kocha
 
Hatuna mtu threat kule mbele kama Martial so far..sijui kwa nini kuna baadhi ya watu hawalioni hili..8 pl goals sio mbaya so far

Ili ujue kama Martial si Mchezaji Wa Sayari hii wakucheza na kina Lingard bali Ni Mchezaji Wa Kucheza na Kina Messi na Dembele! Basi Kampeni PEP GUARDIOLA au KLOPP umuone baada ya Mechi 5 tu ndiyo utamjua Martial Ni nani.

He is one of talented player in this Planet.
 
Mimi nilimchukia Mau kwasababu ya kutaka kumuuza Martial tu
 
Pochettino akiitaka hii kazi hakuna race hapo, hata interview hafanyi.
Napenda sana ole kuwa kocha wa manchester united lakin akipambanishwa na kocha wa spurs anabiki kocha wa spurs anachukua kazi asubuhi.
 
Nafasi Pekee aliyobakisha Ni PSG na Bayern.
Buyern hawez kupewa timu hata aroge wale wanalinda misingi ya timu yao ya kushambulia sio kama sisi wakurupukaji nimeona wanampa kipaumbele xabi alonso.
 
Napenda sana ole kuwa kocha wa manchester united lakin akipambanishwa na kocha wa spurs anabiki kocha wa spurs anachukua kazi asubuhi.

Niliona nisitumie nguvu kubishana na jamaa, Pochettino wote tumeona kazi yake Southampton, then Tottenham.

Sawa anaweza kuwa hajachukua kombe kwa sababu za budget na massive spending za wapinzani, lakini ni A rated coach ambaye ni dream coach kwa vilabu vingi ulaya.
 
Kabisa akipata timu yenye pressure na makombe akili itamkaa sawa ila ole hana ubavu wa kupambana na pochetino aanze sasa.
 
Kuna watu hawalioni hilo mkuu,,
 
Akifundisha vilabu vyenye presha ndipo tutaweza kumtathimini. Nafuu yake, Tots afunge au afungwe siyo story kwenye media au fans. Hiyo inampa utulivu hata kwa uwezo wake wastani kiufundishaji. Madrid jinsi wanavyoanghaika na coaches, wangekwisha kum-spot.
 

Back to the argument, ukipewa hao watu leo unamchagua nani?

Considering kwamba wote wako available now!
 
Merry Christmas to you all Man United Fans ..napita kutoa salamu zangu, hongereni kwa ushindi wa goli tano.

Mna kikosi kizuri tu lakini sioni kama mtafua dafu msimu huu..
 
His main point is DOF must be someone know the club, we waste 5 years due to incompetence of Ed Woodward and we have many former players who can do that job ( Van der Sar is doing good job at Ajax)
Naunga mkono hoja ya kiingereza kwa kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…