Magoli mengi (mfano 5-5) na umavi hai determine ubingwa
Kina determine ubingwa ni kufungwa mara chache, kuwa na clean sheets chacheb
Ukiwa na ulinzi imara harafu hushindi na mwenzio hana ulinzi imara ana ruhusu magori lakini anaondoka na point nana mwenye nafasi ya kubeba kombe?
Hiyo ya ulinzi imara halafu haushindi ni yako, mimi nimesema ulinzi imara halafu unashinda hata kwa goli 1.... Haya uliza swali lakoUkiwa na ulinzi imara harafu hushindi na mwenzio hana ulinzi imara ana ruhusu magori lakini anaondoka na point nana mwenye nafasi ya kubeba kombe?
Wewe shinda 7-6, wengine washinde 2-0 uone kama ubingwa haujausikia kwenye bombaSasa 5-5 huo ni ushindi au ni droo? Me nimesema timu ishinde sio droo, fanya ishinde 5-4, 4-3, 3-2 au hata 7-6 Michezo karibu yote na michache afungwe kabisa halafu uone kama kuna timu itamzuia kuchukua ubingwa kwa 7bu hana clean sheet
Wewe nani kakupa kasumba ya 7-6Huyu sijui nani kampa hii kasumba ya clean sheet?
Wewe nani kakupa kasumba ya 7-6
Hiyo ya ulinzi imara halafu haushindi ni yako, mimi nimesema ulinzi imara halafu unashinda hata kwa goli 1.... Haya uliza swali lako
Lakini hayana thamani kuliko 1-0Ni matokeo ambayo bado utahesabika kua umeshinda, na yanathani kuliko 0-0
Wewe safu yako bora inashinda 5-4, mimi nina ulinzi imara timu inashinda 2-0, nani yupo vizuri hapoWewe na ulinzi wako imara ana ushindi 1-0, me ulinzi dhaifu na nashinda 5-3 nani zaidi
Lakini hayana thamani kuliko 1-0
Ivi itokee timu ktk mechi 38 za msimu ishinde mechi 34 na zote iruhusu magoli ya kufungwa, halafu mechi 4 ifungwe kabisa zote, hapo kutakua hakuna clean sheet kwa hiyo timu, Lkn hapo niwazi hakutakua na timu itakayoifikia na itabeba ubingwa hata kama gemu zote iliruhusu magoli ya kufungwa, nataka nikuambie clean sheet ni upuuzi tu, hai determine nafasi ya ubingwa
Clean sheet Ni Muhimu kwa ajili ya Kuwaongeza thamani Mabeki na Kipa tu na so vyenginevyo ili Wabebe tunzo za Mabeki bora na Kipa bora, Na sokoni Wakitakiwa wauzwe kwa Mkwanja Mrefu kama Oblak Wa ticotico ambaye timu zimeshindwa kumnunua kwa thamani Yake ya £90m.
Solksjaer won by five goals ..
Pochetino replied by scoring SIX
Ladies and gentlemen, The Race for the Manchester United job is on
Kwa lipi??Pochettino akiitaka hii kazi hakuna race hapo, hata interview hafanyi.
Kwa lipi??
Kwani zidane alikabidhiwa Madrid kwa lipi ?Kwa lipi??
Mkuu una akili sana..unajua mpira sana. Kuna mtu hapa amesema eti Shaw amuweke bench Young..Wakiwa fit wote
De gea
Valencia,smalling,Bailly,Young
Matic,Pogba, Herrera
Sanchez, Lukaku, Rashford
Mimi nasema Young amuweke benchi valencia..young ana uwezo mzuri wa kuattack kuliko valencia..meanwhile shaw abaki kwny nafasi yakeMkuu una akili sana..unajua mpira sana. Kuna mtu hapa amesema eti Shaw amuweke bench Young..
Hahaha hapo najua umefurahia kutokumwona FIELD MARTIAL mkuuMkuu una akili sana..unajua mpira sana. Kuna mtu hapa amesema eti Shaw amuweke bench Young..