Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni wakuu kwa kubebwa, naona mnaona moto wa vijana wetu ingawa refa wenu kawabeba kwenye penalty aliyoshika Evra na red card anbayo angeonyeshwa Nani .... .... .

Kubali yaishe mmeshindwa japo mliandaa bahasha lakini wapi🙂)) kufungwa kunauma sana mkuu! Pole sana

Kudoz to Man ure kwa kuwararua Arsenal tena kwao!..Bravooooo!!
 
Advantage aliyonayo Welbeck ni urefu na mbio......babu SAF inabidi amfundishe kumiliki mpira na kufunga........

Wacha1......leo mna bahati sana kufungwa goli chache vile......again leo mmefungwa hands down.......hongereni Mashetani Wekundu.....
 
Kubali yaishe mmeshindwa japo mliandaa bahasha lakini wapi🙂)) kufungwa kunauma sana mkuu! Pole sana

Kudoz to Man ure kwa kuwararua Arsenal tena kwao!..Bravooooo!!

Inasemekana kwamba (kwa mujibu wa BBC Swahili jana), refarii (Mike Dean) aliyechezesha jana mechi kati ya mashetani na washika bunduki kachezesha mechi kumi za washika bunduki, kabla ya mechi ya jana. Katika mechi zote hizo 10, hakuna mechi hata moja ambayo washika bunduki wameshinda, yaani wametoa droo mechi tano na kufungwa tano. Ukiongeza mechi ya jana, ina maana refa huyo kachezesha mechi 11 za washika bunduki, wamefungwa 6 na kudroo 5. Sasa mnaoosha vinywa mseme na huyu ni Webb mwingine.

 
Mkuu kulalama mpaka lini?!? Siku zote weye ni muzee ya kulalama..oh bahasha, oh red card, oh Man U wanabebwa!!

Cool off muzee.

kweli nimeamin mtoto yake nepi, halali na pesa kucheza kote kwa arsenal na nafasi kibao wameshindwa kuwafunga Man U
 
Fungie kesha kubali chacha ushoga urudi rasmi ... .... ....




Mashoga wa Manure wamezawadiwa jana rasmi
na chama cha waandishi ....
 
Alikimbizwa kinoma na dogo Chamberlain mpaka Ferguson akamtoa.

Unatokwa povu jingi. Wanamwongelea Rafael hapo ambae alimreplace Jones. Rafael nae alitolewa akaingia Park.


Kwanza, kutokwa na povu ni asili yangu, hivyo tunza kumbukumbu hiyo, ili wakati ujao husisumbuke kupoteza wino wako bure!!

Pili, Rafael alikua na kadi ya njano tayari, na kutokana na aina ya uchezaji wake, kadi ya pili ilikua inanukia. Hivyo SAF akajiepusha na hilo balaa kwa kumtoa.

Tatu, tukubali basi alikimbizwa na Chambageni; lakini faida ya kukimbizwa ilikua nini? Kwa maana mwisho wa siku Chambageni alitolewa na Goooners wakala kichapo kama kawaida (10 kwa 3 katika game 2!!!!)
 

anaeuliza kutolewa kwa Rafael afikirie goli la pili lilipatikanaje atapata jibu. Sio mara ya kwanza saf kumrudisha winger beki aweze kuanzisha mashambulizi kutafuta goli. Kuna game Evra alitoka Giggs akarudi beki 3 na kutengeneza magoli mawili ya fasta fasta.
 
Wacha utukutu wewe, ulikuwa umevaa miwani? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hahahaha tumeshakuzoea wewe wasiokuzoea hapa jukwaa watakushangaa, ila sisi ambao tumekuzoea then tunakujua maana wewe kila siku kulalama tu hamna hata siku moja umeipa points MAN UNITED kila siku wewe ni kubebwa au bahasha hahaha pole sana
 
Fungie kesha kubali chacha ushoga urudi rasmi ... .... ....




Mashoga wa Manure wamezawadiwa jana rasmi
na chama cha waandishi ....

Mods........huu anaoufanya Wacha1.......sio uanamichezo............na zaidi ukizingatia watu anaowasiliana nao hapa ni Waafrika Watanzania............hayo ni matusi ya wazi wazi kwa wapenzi wa ManU.........
 
Mods........huu anaoufanya Wacha1.......sio uanamichezo............na zaidi ukizingatia watu anaowasiliana nao hapa ni Waafrika Watanzania............hayo ni matusi ya wazi wazi kwa wapenzi wa ManU.........



Role model wa Manure .... ..... ....




Paul and Neville ..... walizawadiwa jana ...... ..




Chacha Ogah ushoga wafanye Manure lawama ziende kwa Wacha1 wapi na wapi au unashabikia timu tu wakati hujui inasimamia nini? Chacha kama unashabikia Manure inabidi uwapende mashoga wao la sivyo wao na wewe ni mbali mbali. Dressing room wamemrudisha ili awa-coach vijana waendeleze libeneke.

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
Utapiga sana kelele lakini tukikutana na wewe tutaendelea kukutia adabu,na imegundulika mtu anayepokea bahasha zetu ni Mr. Bean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…