Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,759
Akivaa suti mtasema anajiremba asipovaa mnaponda!! binadamu tuna kazi sana!! sisi tunataka ushindi hayo mambo ya suti ni yake na mke wake, hata akivaa bukta sisi hayatuhusu!!Safi sana OG, kocha avae hata suti siyo muda wote Mourinho yuko kwenye manguo ya ajabu kama mkazi wa Goma.
Hata Mou naye alianza hiv hiv! Badaye midomo ikainuka. Eken akiba ya maneno
Hapa nakuunga mkono, hasa de gea kama akisain mkataba mrefu apewe hata usaidizi!!Captain anatakiwa kuwa de gea au smalling au valencia tuwatendee heshima vitu kama hivi vimemfelisha mourinho
Wahaoooo kipenzi!!! Habari za masiku tele jamani!!! Mo alitupoteza mweeeeee!!!!!, am happy to see you again, leo nipe five!!!@Everlenk
Nakusalimia katika jina la pogba.
Coment kama hizi hata kama mchezaji ni kimeo akisikia lazima ajishtukie...mou alikosea sana kuponda wachezaji hadharan!!Ole: “He’s (Pogba) a quality player, but that’s the same with all of them. I worked with Paul before and i’ve enjoyed the two days we’ve had together now, and i’ll enjoy working with him and the rest of them in the next four or five months.” #mufc #manchesterunited #manutd #pogba #solskjaer
Mkipambana vizuri uhakika wa kumaliza top 4 bado upo Chelsea na Arsenal hawa hawana consistency ya matokeo.Hapo ndipo palipomfukuzisha kazi
Hizo data zako kaangalie alichofanyiwa Man City na ChelseaCardiff pass 100+ Man U pass 380+.
Ili uwe na uhakika wa mechi lazima uwe na uhakika wa kuwa na mpira kwa muda mrefu.
Thank u United, leo nalala vizuuuuri
City kapigwa, points alizotuzidi zimepungua, kutoka 19 hadi 16
Chelsea kapigwa, sasa hivi bado points 8 kutoka 11 tuwe top 4
Mpaka May, lazima kieleweke
At least Degea kapumua
Ashley young
Marekebisho kidogo, ni kutoka 18 Hadi 15.Thank u United, leo nalala vizuuuuri
City kapigwa, points alizotuzidi zimepungua, kutoka 19 hadi 16
Chelsea kapigwa, sasa hivi bado points 8 kutoka 11 tuwe top 4
Mpaka May, lazima kieleweke