Mkuu ndio tulichokuwa tunataka, tunaweza kupoteza mechi ila unaiona timu angalau ilikuwa inacheza sasa chini ya Mou kiukweli kila gemu ni fainali yaani akiongoza tu anatoa washambuliaji anaweka mabeki wake na kuanza kuchek gemu huku mmebana mambupu presha iko juu muda wote. Siwezi kusahau ile gemu na chelsea wanachomoa dakika za majeruhi.
GGMU