Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo hata utengenezaji wa magoli unaonekana sio mtindo ule wa gombania goli mara mmeshinda [emoji1][emoji1]. Victor asee kanifurahisha sana yule jamaa anajua akipata mechi nyingi naimani atakua beki wetu bora sana.
 
Ila OG bado hajapata kipimo sahihi kwa timu yenye mafundi na makocha wenye mbinu za ukweli...nasubiri kwanza ndio nije nimwagie sifa za namna mbili, nzuri au mbaya baada ya mechi kadhaa tena ngumu na za ugenini.
Hii Cardiff nakumbuka miaka michache iliyopita OG aliichukua kwa mikwara kilichofuata walijikuta championship na kibarua kikaota nyasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…