Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SAF aliondoka nao
 
Ole labda aje alete spirit ya juu kwenye timu,ila kimbinu sina imani kama ana jipya. Nadhani atategemea zaidi nguvu ya wachezaji kuliko mbinu za kiufundishaji. N way suala la msingi timu angalau icheze mpira mzuri Wa kutisha wapinzani kidogo
 
Titles won by managers since January 2016:

ZIDANE: 9
Emery: 6
Allegri: 5
Guardiola: 5
Enrique: 4
Mourinho: 3
Ancelotti: 3
Valverde: 3
Simeone: 2
Wenger: 2
Tuchel: 2
Conte: 2
Pochettino 0,000,000
Klopp

Sarri:
 
Kuna wachezaji hawafai kuwepo Man U wengine waliletwa na Mou Mwenyewe,wengine kawakuta. Pamoja na hivyo kocha alikuwa tatizo kuu. Timu ilikuwa inafungwa halafu inacheza mpira mbaya sana.
 
Michael Carrick reminded the players that the club would still get rid of anyone who is not meeting its standards and that they needed to fight for the United shirt.

View attachment 973916
Hapa pogba anahusika labda ajirekebishe. Kwanza huyu jamaa basi tu sema ni biashara ila naona na yeye angefunguliwa mlango tu, pamoja na upungufu wa kocha mchezaji huwezi taka kuwa juu ya kocha pumbafu sana. Hiyo ni kutaka kuwa juu ya timu nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…